MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,354
Katika majimbo haya mawili yatakayofanya uchaguzi hivi karibuni kwa Chama Cha Mapinduzi kilishashinda hata kabla ya uchaguzi kufanyika kwa dhana moja kubwa tu chama chenye upinzani mkali cha Chadema kilishatangaza kususia chaguzi hizi mpaka pale malalamiko waliyotoa kuhusu Tume ya uchaguzi yatakapo fanyiwa kazi.
Lakini mpaka sasa hakuna hata lalamiko moja lililofanyiwa kazi kwahiyo pamoja na kutangaza kwa wagombea wao kwa hayo majimbo kimtazamo ni kuwa CCM walishashinda hayo majimbo.
Tutasubiri tusikie matokeo siku ya uchaguzi baada ya kufanyika.