CCM walishashinda Siha na Kinondoni kilichobaki ni kutangazwa tu

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Katika majimbo haya mawili yatakayofanya uchaguzi hivi karibuni kwa Chama Cha Mapinduzi kilishashinda hata kabla ya uchaguzi kufanyika kwa dhana moja kubwa tu chama chenye upinzani mkali cha Chadema kilishatangaza kususia chaguzi hizi mpaka pale malalamiko waliyotoa kuhusu Tume ya uchaguzi yatakapo fanyiwa kazi.

Lakini mpaka sasa hakuna hata lalamiko moja lililofanyiwa kazi kwahiyo pamoja na kutangaza kwa wagombea wao kwa hayo majimbo kimtazamo ni kuwa CCM walishashinda hayo majimbo.

Tutasubiri tusikie matokeo siku ya uchaguzi baada ya kufanyika.
 
Kujitangaza kutoshiriki uchaguzi wa majimbo abc haikuzuii kushiriki uchaguzi wa majimbo xyz.
 
Kila mmoja wetu ana ndoto, nayo hii ni ndoto yako.
 
Huelewe
Katika majimbo haya mawili yatakayofanya uchaguzi hivi karibuni kwa Chama Cha Mapinduzi kilishashinda hata kabla ya uchaguzi kufanyika kwa dhana moja kubwa tu chama chenye upinzani mkali cha Chadema kilishatangaza kususia chaguzi hizi mpaka pale malalamiko waliyotoa kuhusu Tume ya uchaguzi yatakapo fanyiwa kazi.

Lakini mpaka sasa hakuna hata lalamiko moja lililofanyiwa kazi kwahiyo pamoja na kutangaza kwa wagombea wao kwa hayo majimbo kimtazamo ni kuwa CCM walishashinda hayo majimbo.

Tutasubiri tusikie matokeo siku ya uchaguzi baada ya kufanyika.
hueleweki mkuu
 
Kujitangaza kutoshiriki uchaguzi wa majimbo abc haikuzuii kushiriki uchaguzi wa majimbo xyz.
Wala sijasema hayo......ila kutokana na iliyoyafanya hayo basi ndiyo umejifunga jiwe zito shingoni na kujitupa katikati ya bahari wewe subiri matokeo tu kwa sasa.
 
Katika majimbo haya mawili yatakayofanya uchaguzi hivi karibuni kwa Chama Cha Mapinduzi kilishashinda hata kabla ya uchaguzi kufanyika kwa dhana moja kubwa tu chama chenye upinzani mkali cha Chadema kilishatangaza kususia chaguzi hizi mpaka pale malalamiko waliyotoa kuhusu Tume ya uchaguzi yatakapo fanyiwa kazi.

Lakini mpaka sasa hakuna hata lalamiko moja lililofanyiwa kazi kwahiyo pamoja na kutangaza kwa wagombea wao kwa hayo majimbo kimtazamo ni kuwa CCM walishashinda hayo majimbo.

Tutasubiri tusikie matokeo siku ya uchaguzi baada ya kufanyika.
 
Nadhani sasa imeanza kuonekana hali halisi.
 
mazingira ya uchaguzi yalijulikana kitambo na wenye akili wanajua.
 
Siha na Kinondoni lazima CCM watashinda tu.
 
Back
Top Bottom