Elections 2010 CCM wakubali kushindwa, Dr. Slaa kisha kuwa Rais

Watanzania

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
727
42
Kila kona ya Tanzania, Dr Slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya Ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka Zanzibar.

JK ajiandae kuachia madaraka kuanzia sasa. Maana hata akiiba vipi kura, hawezi kuongoza wananchi wasiomtaka.
 
kila kona ya tanzania, dr slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka zanzibar.

Jk ajiandae kuachia madaraka kuanzia sasa. Maana hata akiiba vipi kura, hawezi kuongoza wananchi wasiomtaka.

pumba!!!!!
 
Kila kona ya Tanzania, Dr Slaa ameshakubalika, kuanzia mashariki, magharibi, kanda ya Ziwa, kanda ya kusini, kanda ya kaskazini, kanda ya kati mpaka Zanzibar.
JK ajiandae kuachia madaraka kuanzia sasa. Maana hata akiiba vipi kura, hawezi kuongoza wananchi wasiomtaka.

kwa kweli na maandalizi ya kuchinja watu yamekamilika
 
JK ajiandae kuachia madaraka kuanzia sasa. Maana hata akiiba vipi kura, hawezi kuongoza wananchi wasiomtaka

Huo ndio ukweli wa tanzania ya leo.......................
 
kwa kweli na maandalizi ya kuchinja watu yamekamilika

Mafunzo yenu mliyopewa kwenye makambi ya greenguard yamekamilika,duh mmekuwa on time....Ila mjue tu mtachinjana wenyewe
 
Wewe BURN unavaa heleni halafu umejichubua uso mtoto wa kiume!Huku Mombasa watoto kama nyie mnafichwa ndani.Slaa anaweza,hudhuria kampeni zake uone na usikie mwenyewe.Huu ni mwaka wa mabadiliko nami naja nyumbani kupiga kura.Watanzania hatudanganyiki tena!!!!!!!!!
 
Kama wewe unafaida gani Kama mtoto wa kiume unavaa hereni...mi ningekuwa babayako nakupa sumu ufe tu..maana laana kuwa na mtoto wa kiume Ana Tabia za kike
avatar12790_6.gif

Back
Top Bottom