Siyo kweli.Kuna kada mmoja Wa ccm amenihakikishia hilo kuwa kura zishapigwa tayari kabla ya uchaguzi,na jamaa asjashinda kwa asilimis 82.
Mkuu wala usihofu ktk kila watanzania 7 ni mmoja tu ataichagua ccmAsilimia 50% tu ya wapiga kura wote wakitupa kura wapinzani tutakuwa tumeshachukua nchi.
Tunachotakiwa kufanikisha mawakala vituoni matokeo yakishajumlishwa vituoni Sisi tukiyapata tutayatangaza na kuingia barabarani kushangilia ushindi na tutaenda kupiga kambi tume ya uchaguzi tuone sasa kama wataweza kupindua matokeo ama zao ama zetu.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Duh.. Hivi ccm ishindwe kwa lipi?
Chadema? Lisu? Au Amsterdam
Atakayekuwa rais kupitia chadema nadhani bado hata chekechea hajaanza - na ni kweli nchi haikabidhiwi kama mtu anavyokabidhi kalamu ya ObamaMkuu wala usihofu ktk kila watanzania 7 ni mmoja tu ataichagua ccm