Uchaguzi 2020 CCM wako tayari kwa lolote, hawako tayari kukikabidhi nchi kwa Upinzani. Mnalijua hilo?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.

CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi alishindwa kukagua. Hii miradi Lissu amesema imejaa harufu ya upigaji. Ndiyo maana hawako tayari kuachia dola.

USHAHIDI KWAMBA CCM IMECHOKWA
# Ilipokonya Ushindi Zanzibar 2015
# Kuengua Wagombea wa Upinzani
# Wametamka mara nyingi kua hawako tayari kukabidhi nchi hasa Zanzibar
# Matumizi makubwa ya jeshi la polisi
# Matimizi ya NEC- Tumeona Tume bila kujua wakifanya njama wazi wazi baada ya kumpigia mgombea ubunge wa CHADEMA Karagwe wakidhani ni Mkurugenzi.
# Kushusha bendera za upinzani na kuchana mabango yao.

ANGALIZO KWA CCM
Mkumbuke kwamba taifa hili liliachwa likiwa moja na Mwalimu Nyerere. Aliasisi upinzani ninyi mkiwa hamtaki lakini muelewe kuwa wapinzani wamesema Uchaguzi huu 2020 sasa basi, wamesema wakishindwa hawatamuachia Mungu.

Sasa mkishindwa mwaka huu lazimisheni muone. Kama mna ubavu mnaengua wapinzani Wa nini? Kama mnajua mnakubalika mnashusha bendera na kuchana mabango ya wenzenu ya nini?
 
Ha ha haaaa. Naona maombi ya baadhi ya wachungaji na mashekhe leo maombi yao yamekuwa ni kumtukuza Magufuli badala ya kumtukuza Mungu. Wachungaji na Mashekhe wanapiga kampeni kwa kutaja mafly over kwa kuponda wapinzani na kuponda wanaowaita Mabeberu. Sasa sijui wanaomba au wanapiga madongo.
 
Asilimia 50% tu ya wapiga kura wote wakitupa kura wapinzani tutakuwa tumeshachukua nchi.

Tunachotakiwa kufanikisha mawakala vituoni matokeo yakishajumlishwa vituoni Sisi tukiyapata tutayatangaza na kuingia barabarani kushangilia ushindi na tutaenda kupiga kambi tume ya uchaguzi tuone sasa kama wataweza kupindua matokeo ama zao ama zetu.
 
Asilimia 50% tu ya wapiga kura wote wakitupa kura wapinzani tutakuwa tumeshachukua nchi.

Tunachotakiwa kufanikisha mawakala vituoni matokeo yakishajumlishwa vituoni Sisi tukiyapata tutayatangaza na kuingia barabarani kushangilia ushindi na tutaenda kupiga kambi tume ya uchaguzi tuone sasa kama wataweza kupindua matokeo ama zao ama zetu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu wala usihofu ktk kila watanzania 7 ni mmoja tu ataichagua ccm
 
Duh.. Hivi ccm ishindwe kwa lipi?
1602492331409.png

Chadema? Lisu? Au Amsterdam
 
Tunajua hilo na ndio maana mwaka huu wazanzibari wakasema liwalo na liwe.... Cha kushangaza walisema zamani lakini sijui kwanini wananchi walikuwa wakijitesa tu.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom