MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa kwenye miradi hii mimea ya STIGLERS, SGR na ununuzi wa ndege ambao hata CAG hakueleza ni vipi alishindwa kukagua. Hii miradi Lissu amesema imejaa harufu ya upigaji. Ndiyo maana hawako tayari kuachia dola.
USHAHIDI KWAMBA CCM IMECHOKWA
# Ilipokonya Ushindi Zanzibar 2015
# Kuengua Wagombea wa Upinzani
# Wametamka mara nyingi kua hawako tayari kukabidhi nchi hasa Zanzibar
# Matumizi makubwa ya jeshi la polisi
# Matimizi ya NEC- Tumeona Tume bila kujua wakifanya njama wazi wazi baada ya kumpigia mgombea ubunge wa CHADEMA Karagwe wakidhani ni Mkurugenzi.
# Kushusha bendera za upinzani na kuchana mabango yao.
ANGALIZO KWA CCM
Mkumbuke kwamba taifa hili liliachwa likiwa moja na Mwalimu Nyerere. Aliasisi upinzani ninyi mkiwa hamtaki lakini muelewe kuwa wapinzani wamesema Uchaguzi huu 2020 sasa basi, wamesema wakishindwa hawatamuachia Mungu.
Sasa mkishindwa mwaka huu lazimisheni muone. Kama mna ubavu mnaengua wapinzani Wa nini? Kama mnajua mnakubalika mnashusha bendera na kuchana mabango ya wenzenu ya nini?