CCM wajikoroga tena, wanatambua uwepo wa Tanganyika kwenye sherehe tu siyo kikatiba!


Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Katika kile ambacho Mwanafalsafa Andrew Carnegie anakitambua kama, "Uncontrolled desire for something for nothing" viongozi wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wake kitaifa Mhe.Dr.Jakaya Kikwete wameonesha kukosa mantiki ya msimamo wao kuhusu haja ya kutambua kikatiba uwepo wa Tanganyika iliyoungana na Zanzibar mnamo mwaka tar.26.04.1964.

CCM ndicho chama pekee kilichoshindwa kutoa mwelekeo sahihi kuhusu aina ya muungano unaotakiwa kwa sasa na haja ya uwazi wa mambo yahusuyo Tanganyika.

CCM wamekuwa mstari wa mbele katika sherehe mathalani kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika ambayo wanapinga uwepo wake kinyume na ilivyopendekezwa na tume ya uundaji wa katiba mpya chini ya Mzee Sinde J.Warioba.

Mara kadhaa viongozi wa CCM akiwemo Mzee Abdallah Bulendo wamemkashifu Mzee Warioba kwa kukubali muungano wa serikali tatu ikiwamo Tanganyika.

Hoja ipo wazi, bajeti ya sherehe ya uhuru iligharamiwa na nani hali Tanganyika haina serikali?
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,427
Likes
1,739
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,427 1,739 280
Vituko vyao eti wanasema uhuru wa Tanzania Bara does it make any sense historia ni historia tu waache wazimu waseme uhuru wa Tanganyika
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Ngalele Fijo; Bila shaka wamepoteza mwelekeo, watuambie ni lini wabunge/mawaziri walikaa kujadili na kupitisha bajeti ya maendeleo kwa masuala yale yasiyo ya muungano kwa ajili ya Tanganyika?
 
Last edited by a moderator:
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,427
Likes
1,739
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,427 1,739 280
NI ujinga kwamba unaweza ua Tanganyika ukweli ni kwamba historia huwa haifi wakubaliane na ukweli Tanganyika will ever ring into our minds the only option is to deal with it , The Great Tanganyika
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,527
Likes
3,177
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,527 3,177 280
Nilimsikia katika hutoba JK anavyobabaika!...Uhuru wa Tanzania, Uhuru wa Tanzania Bara, Uhuru wa Tanganyika?
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Ngalele Fijo; UVCCM wamekuwa kama thoughtless heads, hawataki kabisa kujadili mambo muhimu kama haya walau tuwaelewe chama chao wanasimamia nini? Ritz, ifweero, chama, tandale One, Simiyu Yetu, utaifa Kwanza, chama, e.t.c
 
Last edited by a moderator:
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,912
Likes
96
Points
145
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,912 96 145
Tanganyika ikiitwa Tanzania Bara huwa najisikia kichefuchefu kabisa.
 
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,256
Likes
778
Points
280
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,256 778 280
Subirini rasimu ya katiba itoke, watanyoosha maelezo, wamemkolimba dr.mvungi akajipongeza walidhani wamemaliza kazi.Tanganyika lazima si ombi tena
 
B

Bacron F

Senior Member
Joined
Jan 25, 2013
Messages
164
Likes
0
Points
0
B

Bacron F

Senior Member
Joined Jan 25, 2013
164 0 0
Ujinga tu hapo no sense kwa magamba mana hawajitambui kabisa, kiongozi mkubwa yule jamaa hata historia ya nchi haijui itakuweje watoto wetu wapate elimu stahili kama mpitia midahalo ya elimu ni yeye boga wetu!
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
SMU; Bila shaka alikuchukiza sana Mhe.Rais Kikwete kwa kushindwa kutamka "Uhuru wa Tanganyika" bila kigugumizi. By the way, kusema Tanzania bara ina maana visiwa kama Nansio,Ukerewe,Makobe n.k ni provinces za Zanzibar?
 
Last edited by a moderator:
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,527
Likes
3,177
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,527 3,177 280
SMU; Bila shaka alikuchukiza sana Mhe.Rais Kikwete kwa kushindwa kutamka "Uhuru wa Tanganyika" bila kigugumizi. By the way, kusema Tanzania bara ina maana visiwa kama Nansio,Ukerewe,Makobe n.k ni provinces za Zanzibar?
Mkuu, kwa kweli wanakera. Yaani unaweza kufikiri kutamka neno "Tanganyika" mbele za watu ni kukosa maadili (ni matusi)!
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,563
Likes
1,598
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,563 1,598 280
Nilimsikia katika hutoba JK anavyobabaika!...Uhuru wa Tanzania, Uhuru wa Tanzania Bara, Uhuru wa Tanganyika?
huyu JK majanga matupu .sijui hata tulitoka naye wapi ...aghhhh
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Baba Gaude; Si kwamba anasimamia sera za chama chake japokuwa alikiuka pale aliporuhusu mjadala wa katiba mpya jambo ambalo halikuwahi kuwa sera ya CCM!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,263,419
Members 485,881
Posts 30,150,628