CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

MsakaGamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
392
Reaction score
141
CCM leo wamefunga shule ya sekondari Msata ili watumie eneo la shule hiyo kwa ajili ya uteuzi wa mgombea ubunge, kwao elimu ya watoto sio muhimu lakini wameona ni muhimu kufanyia zoezi hilo kwenye eneo la shule.

wakati huohuo kuna ugomvi umetokea kwenye chumba cha mgahawa mmoja ambapo baadhi ya wajumbe walioletwa hapo kwa ajili ya chai walianza kurushiana maneno na baadae kushikana mashati kutokana na kupunjana pesa za mgao walizo pewa kama rushwa.

Updates

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Msata ndio wanaotumika kugawa vinywaji kwenye ukumbi huo. Wamevalia uniforms za shule.
 
umbea mtupu. Baada ya kuanzisha viwanda vya kutengeneza gongo, sasa chadema wana viwanda vya kutengeneza porojo
 
kwani uteuzi unafanyika kwenye maarasa yote a kwenye ukumbi mmoja tu?
 
Huo ndio ukweli kwani lini ccm mliacha kutoa rushwa?! hukumbuki kwenye uchaguzi wa wajumbe wa NEC rushwa ilivyotembea pale Dodoma?! hukumbuki JK alisemaje!? hukumbuki Mangula alisemaje?! alisha washughulikia wale watoa na wapokea rushwa?!
 
kwani uteuzi unafanyika kwenye maarasa yote a kwenye ukumbi mmoja tu?

Acha ujinga! learning needs cool environment, huwezi kuwaleta wajumbe na mabus eneo la shule, waingie eneo la shule halafu ufikirie kuwa masomo yataendelea kama kawaida. Tatizo na wewe hujui umuhimubwa elimu bora kaa kimya..
 
unaripoti mwenyewe kutoka eneo la tukio au kwa taarifa za kuambiwa?
 
umbea mtupu. Baada ya kuanzisha viwanda vya kutengeneza gongo, sasa chadema wana viwanda vya kutengeneza porojo

Songoro dhima ya utumishi pale Lumumba inasema "condom haichagui mrembo" kwa hiyo fanya kazi yako wanaokushangaa shauri yao.
 
umbea mtupu. Baada ya kuanzisha viwanda vya kutengeneza gongo, sasa chadema wana viwanda vya kutengeneza porojo

Songoro dhima ya utumishi pale Lumumba inasema "condom haichagui mrembo" kwa hiyo fanya kazi yako wanaokushangaa shauri yao.
 
CCM leo wamefunga shule ya sekondari Msata ili watumie eneo la shule hiyo kwa ajili ya uteuzi wa mgombea ubunge, kwao elimu ya watoto sio muhimu lakini wameona ni muhimu kufanyia zoezi hilo kwenye eneo la shule.

wakati huohuo kuna ugomvi umetokea kwenye chumba cha mgahawa mmoja ambapo baadhi ya wajumbe walioletwa hapo kwa ajili ya chai walianza kurushiana maneno na baadae kushikana mashati kutokana na kupunjana pesa za mgao walizo pewa kama rushwa.

samani mkuu,nikikomenti hapa nitakuwa mjinga kuliko hata hao waliowatoa watoto shule kwa ajili ya manufaa yao binafsi
 
unaripoti mwenyewe kutoka eneo la tukio au kwa taarifa za kuambiwa?

Niko eneo la tukio hapahapa kufuatilia kinacho endelea. Ila ccm mna mfumo wa ajabu sana! hawawajumbe ninao waona hapa karibu wote wameletwa kwa fedha za mwana mfalme!!! kulikuwa na haja ya hizi kura za maoni kweli wakati dogo anabebwa na mfumo mzima wa serikali na chama?
 
Katika hali iliyowashangaza wengi shule ya sekondari Msata jimbo la chalinze leo imefungwa ili kupisha uchanguzi wa dani wa chama cha mapinduzi, kuchagua mgombea wa jimbo hilo baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Said kufariki dunia..Kilicho wafanya wengi kushangaa ni uamzi wa kuifunga shule ili kupisha shughuli ya kisiasa, Wengi wamesikika wakisema div 5 haitoshi wafanye div 8 labda wengi watafaulu kwa mtindo huu...
 
Maajabu haya yanatokea Tanzania tu Crashwise
 
Last edited by a moderator:
CCM leo wamefunga shule ya sekondari Msata ili watumie eneo la shule hiyo kwa ajili ya uteuzi wa mgombea ubunge, kwao elimu ya watoto sio muhimu lakini wameona ni muhimu kufanyia zoezi hilo kwenye eneo la shule.

wakati huohuo kuna ugomvi umetokea kwenye chumba cha mgahawa mmoja ambapo baadhi ya wajumbe walioletwa hapo kwa ajili ya chai walianza kurushiana maneno na baadae kushikana mashati kutokana na kupunjana pesa za mgao walizo pewa kama rushwa.

Taarifa hii aione Msajili wa vyama vya siasa na TAKUKURU...kwani mna kazi gani zaidi ya hii, na ipo wazi?
 
CCM maboya kwa kweli, wameona bora watoto wakose elimu kwa sababu ya siasa.................. kifo cha hawa magamba kiko karibuni kabisa.

RIP CCM
 
Tumwombe Mungu atuondolee hili janga ccm
 
Kumbe ni huko Chalinze! Watoto watakuwa wamefurahi sana kupata likizo.... Japo sio fair kbs
 
Back
Top Bottom