CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

Chadema kwa kuchanganya uongo ipo siku mkikosa la kusema mtatafuna ulimi.

Uongo wa CDM huu hapa

1920228_688076701256315_1781797653_n.jpg 1922466_688078064589512_148624167_n.jpg
 
Hivi ndani ya CCM amekosekana mwenye busara kidogo tu walau kama punje ya ulezi???Hivi kweli watoto waache shule wasimamie uchaguzi wa chama,ni haki kweli?Msajili wa vyama yuko wapi?CCM mlaaniwe,na anayewasapoti naye alaaniwe!!Kweli kwa mtaji huu tusubiri division ten!Mbona Kinondoni wasiwe wanaenda International School of Tanganyika wakafanyie uchaguzi wao!

Aliyeamulu leo watoto wasiingie madarasani ili kufanya shughuli za uchaguzi wa chama,alaaniwe!
 
ccm wajinga kama ni kweli basi tunatakiwa kuichukia sana ccm tanzania wahuni wakubwa hawa
 
Last edited by a moderator:
Na CDM wakafunge makanisa yao kama roho zinawauma.
 
umbea mtupu. Baada ya kuanzisha viwanda vya kutengeneza gongo, sasa chadema wana viwanda vya kutengeneza porojo

Nafikiri mleta mada ana point lakini kwa kuwa wewe ni product ya shule ya kata, basi hauoni. Kwanini shule ifungwe kwa ajili ya shughuli za kisiasa?

Tiba
 
Mkuu hivi unajua maana ya Mp.um.bavu? Ni mtu anaye faanya jambo isivyo huku akijua sawia kufanya itakiwavyo, hivyo basi huoni wewe unaangukia kwenye up.umba.vu kwa kucoment wakiti hukutaka kufanya hivyo?

m.p.u.mba.vu ni wewe ambaye hujaona kwamba sijakomenti ila nimetoa taarifa.....2mbav wahed
 
Kumbe ni huko Chalinze! Watoto watakuwa wamefurahi sana kupata likizo.... Japo sio fair kbs

Ha ha ha haaaaaaaaaaa. Ndiko anakotoka raisi wa TZ. Kumbe ndo mambo ya Nchi yanaenda namna hii. Na asiposhindwa rizi-1 nitawashangaa sana ccm.
 
Hivi ndani ya CCM amekosekana mwenye busara kidogo tu walau kama punje ya ulezi???Hivi kweli watoto waache shule wasimamie uchaguzi wa chama,ni haki kweli?Msajili wa vyama yuko wapi?CCM mlaaniwe,na anayewasapoti naye alaaniwe!!Kweli kwa mtaji huu tusubiri division ten!Mbona Kinondoni wasiwe wanaenda International School of Tanganyika wakafanyie uchaguzi wao!

Aliyeamulu leo watoto wasiingie madarasani ili kufanya shughuli za uchaguzi wa chama,alaaniwe!

Watoto wa shule wanaacha masomo ili kusimamia uchaguzi wa chama. Kumbuka atakaye chaguliwa ndiye atakuwa mbunge wa enel hilo, halafu naye anaukubali ujinga huu. Tutegemee nini?

Tiba
 
Na CDM wakafunge makanisa yao kama roho zinawauma.
Inafaa ukapinwe akili!

Tambua kuwa kauli kama hii yako, ndiyo imeigeuza nchi ya. Afrika ya kati kugeuka madimbwi ya damu, ambapo kila kukicha wabanchi wa huko wanachinjana katika vita ya dini baina ya wakristo na waislaam!!
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaa. Ndiko anakotoka raisi wa TZ. Kumbe ndo mambo ya Nchi yanaenda namna hii. Na asiposhindwa rizi-1 nitawashangaa sana ccm.
Kwa mfumo wa utawala wa nchi yetu, Kushindwa kwa Riz-1, ni next to impossible!

Na kama itatokea hivyo kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, basi tutambue Mungu ameingilua kati, kwa kukerwa ba viingozi wetu wa kisiasa wa miaka hii kuaminu kuwa nafasi zote kubwa za serikalini na kwenye chama tawala, viongozi hao na wanafamilia wao ndiyo wanajiona wana hati miliki nazo za kudumu!!
 
kwa nini wasingefanya hata jmosi. hawa ccm ni waajabu kweli kweli.
 
Back
Top Bottom