CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

CCM wafunga shule MSATA, Ugomvi watokea

umbea mtupu. Baada ya kuanzisha viwanda vya kutengeneza gongo, sasa chadema wana viwanda vya kutengeneza porojo

ndugu yangu we ulikuwepo? au ndio kila post unachangia, hilo jambo ni kweli, tena bendera zinaanzia kwenye kibao cha njano cha shule mpaka shuleni kwenyewe, hkuna masomo, na kulikuwa na mziki wa nambari one eee......
 
Mlitaka uchaguzi ufanyike rombo baaa

Tumia akili ndugu yangu,hata kama unayo kidogo tu!Miaka mingi sasa mashule yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya chaguzi mbalimbali na hakuna malalamiko kwa sababu chaguzi hizo zimekuwa zikifanyika kipindi kisichokuwa cha masomo(Jumapili).Kinacholalamikiwa hapa ni kitendo cha kusimamisha masomo kwa ajili ya uchaguzi!Mlaaniwe mnaosapoti kitendo hicho!
 
Mlitaka uchaguzi ufanyike rombo baaa

Watu kama nyie ni janga kwa taifa... Nchi imepata hasara kwa vichwa vibovu kama chako kwenye uongozi wa nchi. Bahati mbaya zaidi ni kuwa vichwa vya aina yako ndo viongozi wa nchi, sasa tutegemee nini kutoka kwenu kama si upuuzi?!
 
naku shangaa sana unae unga mkono jambo lawatoto wetu kunyimwa aki yao kwajili yaupuzi wa chama cha magamba,walimu mmewanyima ata kushinda kwenye majengo nayo mnawanyima mlaniwe wote mnao ona nisawa watoto warudi nyumbani -------
 
Back
Top Bottom