Maccm hayana chao Arusha hata atakaye simama kama mgombea ataogopa hata kupiga kampein.kwa ufupi hata kama Ikulu nzima ihamie Arusha hawawezi kushinda hiyo kata
Kweli mamndenyi, jina linakufaa.Mkishawalewesha gongo watawapa kura na ndo mwisho wa maendeleo yao.
Mkishawalewesha gongo watawapa kura na ndo mwisho wa maendeleo yao.
hiyo kata atagombea NAPE tuone kama hatashinda!
uchaguzi utafanyika lini?, na tanzania nzima kutakuwa na kata ngapi? za kufanya uchanguzi sambamba na hiyo kata ya Arusha, mwenye kujua nisaidia
Heri mimi sijasema ingawa nilihisi hivyoWewe ni mchawi.....Biblia inasema usimuache mwanamke mchawi kuishi....