CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

Huko nyuma mlishazira marangapi, Je ilisaidia kuleta mabadiliko mliyoyataka?. Kukimbia kwenye ring ni ishara tosha kabisa umempa ushindi wa chee adui yako. Huu ni uwanja wa mapambano hivyo mlitakiwa kupambana hadi mwisho na ssm. Mmeamua kukimbia kama jogoo anavyokimbia akishindwa, na sisi tutawafukuza mtokomee kabisa msionekane tena. Na tukirudhi 2021 tunasherehekea kifo chenu. Which is called natural death.
 
Haaha eti kupambana daah aisee mnajua kujitoa akili.
 
Hawa cdm wajinga sana, yaan wanafikiri wanacheza na mtu mjingamjinga, let me tell you my friend, mnayehangaika naye ni mwana sayansi mwenye PHD ya sayansi hivyo mjiangalie sana. Maana wengine hata shule hawakwenda wanajua kazi za u DJ tu halafu anataka kufananisha akili na mwanasayansi. Nawambia anawamaliza kisayansi and mtakufa mkiwa mnajiona
 
Wewe ndiye hujitambui kwa kushobokea na ma PhD,huyo huyo DJ anawalaza bila viatu hadi mnamkataza kufanya shughuli za kisiasa,mnamdhibiti asikutane na wanachama wake,mnazima tv ili wananchi wasimuone anavyo ongea kuchangia bajeti bungeni,mnamfanyia hila kila namna huyo DJ[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe mwenyewe ushakufa bado kivuli tu
 
Pumbafff
 
Wanawazia pesa za kampeini hawakupata
 
Bwana mdogo tindo ccm si chama ahadi tena ni chama cha utekelezaji ndio maana 75 asilimia yaliyoahidiwa kwenye ilani yameanza kufanywa!
 
Bwana mdogo tindo ccm si chama ahadi tena ni chama cha utekelezaji ndio maana 75 asilimia yaliyoahidiwa kwenye ilani yameanza kufanywa!
Chombo kilikuwa kimebeba watu 400 wakati kina uwezo wa kubeba watu 100.Inaonejana idadi ya watu ni kubwa sana kuliko namba ya vyombo vilivyopo.
Gharama ya chaguzi za marudio ni takribani bilioni 10.Tungeweza kununua ferry ngapi?
 
Chombo kilikuwa kimebeba watu 400 wakati kina uwezo wa kubeba watu 100.Inaonejana idadi ya watu ni kubwa sana kuliko namba ya vyombo vilivyopo.
Gharama ya chaguzi za marudio ni takribani bilioni 10.Tungeweza kununua ferry ngapi?
Hata wewe muda mwingine unaona daladala imejaa lakini upo tayari kichwa chako kiwe ndani kiuno kiwe nje hata ukiambiwa gari imejaa bado unang'ng'ania tu pesa za uchaguzi nazo zingenunua daladala ngapi,tahadhari ya maisha yako muda mwingine unatakiwa kuwa nayo mwenyewe!
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
Akili za ujima kama hizi ni shida.
Yani wewe unawaza uongozi kwa mtazamo wa kula Tu!
Poor you and your kind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…