CCM waanza kuchapana

Lakini hii dhambi ya kuanza kuuza ardhi za nchi yetu inatoka wapi? Why are leaders resorting on such kind of things? Hii ni mbaya sana, tuna rudi kule kule kwenye ukoloni wa kina mangungo wa msowero
 

Safi sana, Muache nae aonje matunda ya Mapinduzi 😂 😂 😂
 
Makundi hayo hayajaisha, ilionekana ktk maono, hao wanaowekwa pembeni ghafula wanajikusanya Kwa siri.

Ni maombi yangu mwisho wa KIJANI usigharimu maisha ya wasio hatia.

Mwisho umefika, Mimi nimeiuona. It's a dream come true. Amen
Amen
 
Uamuzi huu umekuja baada ya Shamte kuzungumza mambo mbalimbali na video yake kusambaa huku moja ya kauli zake ikisema: “Ukitaka utajiri acha uongozi ukafanye biashara, miiko ya uongozi haifuatwi”.
 
14 June 2022
Unguja, Zanzibar
Tanzania

CCM ZANZIBAR WAKUTANISHWA HVI PUNDE KTK KAMATI MAALUM WAJADILI JAMBO MUHIM | DKT MWINYI, DKT SHEIN

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…