CCM waanza kuchapana

Astahili yake huyo Mbaraka Shamte, Mungu hulipa hapahapa duniani. Katukana watu sana huyo mshenzi. Alifika hadi kumtukana baba yake Mzee Mohammed Shamte ( Waziri Mkuu wa kwanza wa Zanzibar) kwa ajili shilingi mbili anazogaiwa na CCM.
Malipo hapahapa duniani akhera kuna hesabu tu.
Kapigisha watu sana bakora. Fitna mkubwa huyo.
Kibao kimemgeuka. Mwache avune alichokipanda.
 
DOA lililomchafua yule wa huku ndo hlo linamchafua wa Uchumi wa bluu, kuuza Mali ya urithi wa umma, Ndo asahau kuja huku kama walivoanza kumtabiria. Amen
 
Huwezi kuropokaropoka tu hovyo ukaachiwa,lazima watakuonesha tofauti ya wewe na wao

Ndiyo dictatorship yenyewe hiyo. Huyo mzee ameeleza tu kutokuridhika kwake na uongozi wa Rais wake. Ni haki yake; hajatukana mtu yeyote. Vyama vya siasa inabidi viache huo upumbavu uliopitwa na muda!

Mbona viongozi wa mataifa makubwa na yenye nguvu wanasemwa na wanachama wa vyama vyao kila uchao, lakini wanachama hawafukuzwi chama? Juzi juzi hukuona Boris Johnson amekuwa subjected to vote of no confidence na wabunge wa chama chake mwenyewe?
 
Ndugu Rabbon ,sisi tunaoishi Dodoma na kuwa karibu na hawa jamaa wa CCM, ukiwa nao kijamaa wanaonyesha kabisa kuchoshwa na nchi inavyoendeshwa,tatizo linakuja ni nani wa kuwasha kiberiti na kutupia njiti kwenye petroli!!?
Amin amin nakwambia andunje wa kule kwenye karanga alikuwa na wengi waliokuwa wanamuunga mkono kimyakimya,sema kwa kile kilichotokea ikabidi wawe wapole.
Hakika downfall ya CCM ipo karibu sana kuliko watu wanavyofikiria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…