CCM Vs CHADEMA nani kutamba 2020??

Mahakama ya mafisadi siipo mpelekeni mnaogopa nini?
Chadema mnaopambana na mafisadi ndio mmpeleke mahakamani.
Kwa Lowasa yupo kwenye list of shame ya chadema
 
Chadema mnaopambana na mafisadi ndio mmpeleke mahakamani.
Kwa Lowasa yupo kwenye list of shame ya chadema
Ile mahakama mmetumia mamilioni ya kodi zetu kwa mbwembwe sasa hivi popo zinajitagia mayai tu .ccm watu wa hovyo sana.
 
Heka heka za kisiasa ziko humu jf ila mtaani kuko kimya na shwari kabisa!
 
Watashind Kyadema kwani wamesajiri Messi (Madame Sepetunga) safari hii ,atazunguka nchi nzima kuuza sura ,yeye ni brand bwaana
 
Heka heka za kisiasa ziko humu jf ila mtaani kuko kimya na shwari kabisa!
Endeleeni kujipa matumaini kama mgonjwa wa ukimwa. Watazania wanawaangalia na kuwavutia kasi. Wanasubiriki kichwa kielekee kibla. Ni swala la muda tu.
 
Acha Kujipa moyo mkuu.

Makapi ya ccm hayawezi kuwapeleka ikulu lo
Baki kwenye hoja yako mkuu na ujibu hilo swali kuhusu uchaguzi wa vijiji 2014!!! by the way ukisema makapi kumbuka hta mbowe au maalim seif walitokea ccm ssa je ni nani ambaye si kapi la CCM au kapi ni lowasa tu ila slaa na mnyika sio??? acheni chuki binafsi na unafki wa mtu akiwaacha ndo mnamuita KAPI mnasahau kipindi tunamuita fisadi CCM mlisema ILIKUWA AJALI YA KISIASA ila alipohama tu mkamuita fisadi na kapi duuh
 
Hatuna upinzani wa kweli ulio dhahiri na safi

Amgalia mwenekiti ni yule miaka yote 600000
 
umeandika kishabiki mchezo wa siasa ni one chance one goal mechi imeisha ndo kwanza bajeti ya kwanza anything may happen...tufanye kazi haya ni mambo ya kujadiliwa bajeti ya tatu ya nne huko sio leo....
 
Wakati chadema inajengwa na magufuli, ccm inabomolewa na magifuli kwa kasi ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…