CCM: Vijana wamesanda, Wazee tuko imara. Msamaha haulazimishwi!

CCM: Vijana wamesanda, Wazee tuko imara. Msamaha haulazimishwi!

Ukiona Uzi unaanzishwa halafu unakaa muda mrefu haujapata hata ' Like ' moja jua ama aliyeuanzisha ana matatizo Kichwani au wale aliowafikishia huo Ujumbe ( Uzi ) wamemdharau kwa Kiwango cha Kimataifa.
Wewe ndio unamatatizo kichwan.

Watu wanaandika sio kwa lengo la kulaikiwa au kukomentiwa.


Ukisoma tu inatosha.
 
Ile dhana kwamba "usomi" ni umiliki wa rundo la vyeti ndo imeambukiza gonjwa hili hapa kwa great thinkers.

Kwamba mtu anakaa anahesabu Likes alizogongewa mtu ndio ajiaminishe uzi umekubalika. Kule chit chat kuna uzi ukicomment hata neno "makalio" unagongewa likes 200.

Pathetic!
Jamaa kanishangaza sana

E ukipewa Likes basi uzi umependwa


Unajua ndo maana CCM imeongoza toka miaka iyo
 
You're probably a ' demented ' being.
Mazao ya mikesha ya mwenge utayatambua tu yasivyokuwa na adabu. Si ajabu ukakakuta haka kapuuzi nako kana ka wadhifa fulani katika awamu hii.

Hili zimwi, CCM, limetuletea laana kubwa ndani ya taifa letu. Utakuta hata hao waombaji wa msamaha nao ni ukoo huo huo. Sina huruma yoyote na hizo takataka.

Mtu mzima wa akili anayejitambua kama binadamu hawezi kufanya ujinga huo. Wewe, An Eagle, na hao wanafiki hamna tofauti...jiangalie tu ulivyokosa adabu!
 
Back
Top Bottom