Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,976
Bado hujanishawishi. Ongeza jingine. Hilo wanatumia wanaojifunza kuandika novelYou're a ' blockhead ' Soul.
Bado hujanishawishi. Ongeza jingine. Hilo wanatumia wanaojifunza kuandika novelYou're a ' blockhead ' Soul.
Dogo uwe na adabu kwa wazee. Huwezi kumjibu mzee wenu Tupatupa maswali kihuni huni namna hiyo, hujui kuwa ndio walikaa na kupendekeza posho yenu iwe buku 7?Ungekuwa ni wewe usingeomba msamaha?!
Bado hujanishawishi. Ongeza jingine. Hilo wanatumia wanaojifunza kuandika novel
Hahahaa..... Unaweza kukuta ndiye Feb mwenyewe aliyesamehewa!Dogo uwe na adabu kwa wazee. Huwezi kumjibu mzee wenu Tupatupa maswali kihuni huni namna hiyo, hujui kuwa ndio walikaa na kupendekeza posho yenu iwe buku 7?
Ile dhana kwamba "usomi" ni umiliki wa rundo la vyeti ndo imeambukiza gonjwa hili hapa kwa great thinkers.
Kwamba mtu anakaa anahesabu Likes alizogongewa mtu ndio ajiaminishe uzi umekubalika. Kule chit chat kuna uzi ukicomment hata neno "makalio" unagongewa likes 200.
Pathetic!
VETERAN HAO NI HATARIMpaka sasa
Wazee fc wanaongoza goli mbili na mpira ni dk ya 85 View attachment 1208739
Uzi hautathminiwi kwa likes bwana kalisimatik fwella, na kama mtoa mada anapaswa kudharauliwa wewe umeshindwa nini kumdharau hadi ukashawishika kumjibu?Ukiona Uzi unaanzishwa halafu unakaa muda mrefu haujapata hata ' Like ' moja jua ama aliyeuanzisha ana matatizo Kichwani au wale aliowafikishia huo Ujumbe ( Uzi ) wamemdharau kwa Kiwango cha Kimataifa.
Katusi haka kananipa mshawasha sana. Alikuwa anakatumia mchepuko wangu wakati nammiminia kimiminiko... akigundua sijatumia condomStooge.
popoma la kutukuka mambo vipi?You're a ' blockhead ' Soul.
Afu anajiona mjanja kwa sababu ya kipaji chake cha kishoga cha kubwabwaja kama anaachia kinyesiNdio vijana wa Tanzania hao ambao wanategemewa kuipaisha nchi kiuchumi na kimaendeleo kwa ujumla!!
Kweli si kila anayeenda chuo na kumaliza ni "graduate",wengine ni wajua kusoma na kuandika lugha za wengine kama huyu jamaa.
Kumbe ni liPopoma? Najuta kupoteza muda kujibizana na a waste sperm...popoma la kutukuka mambo vipi?
Umeshawai kumuona shetani?Shetani huwa haombwi msamaha. Akiombwa basi ujue waombaji wanatambikia.
Katusi haka kananipa mshawasha sana. Alikuwa anakatumia mchepuko wangu wakati nammiminia kimiminiko... akigundua sijatumia condom
Jingine tafadhali?
Sasa kama ushajua nimepata tiba, rudi sasa kwenye uzi mama utuletee idadi ya likes alizopata. Naamini wewe ni mtaalam wa kuhesabuNinachojua tu ni kwamba tayari ' Tiba ' imeshakuingia vilivyo tu japo unavunga kama si Kuzuga.
Siyo usanii tu ule ni ushamba mkuuUtu uzima dawa!
Msamaha wa kufanyika mbele ya makamera sio msamaha bali usanii...
Sinema nyingine ya producer asiye mweledi...
Mkuu imeandikwa. Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Siyo atalaaniwa.Nakazia kumuomba msamaha muumba wako Mungu inatosha kabisa ....atalaaniwa yule amtegemeae mwanadamu
Sasa kama ushajua nimepata tiba, rudi sasa kwenye uzi mama utuletee idadi ya likes alizopata. Naamini wewe ni mtaalam wa kuhesabu