CCM ukimwi! Babu Loliondo -Chadema

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Posts
15,157
Reaction score
10,828
Mtoto: Umesikia baba eti babu mmoja Loliondo anaponya magonjwa yote
Baba: Ndiyo nimesikia, unajua chanzo cha ukimwi ni nini?
Mtoto: (akafikiria kidogo) na kusema CCM!
Baba: Are you sure?
Mtoto : Ndiyo (mtoto akaeleza kwa kirefu,akatoa sababu za umaskini, uchumi n.k)
Baba🙁 akiwa amaeridhika na maelezo akaona amuulize mwanaye swali la mtego)
Sasa huyu babu yeye ni mwanachama wa chama gani?
Mtoto: (bila kusita) Chadema!
 
Ahahahahaaah!! Utani ambao makada wa chama chetu hawataupenda!
 
hahahahaha!!!!huyu atakuwa mjukuu wako huyu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…