CCM tunatia aibu

CCM tunatia aibu

k
Imewaponza huku kwetu kisukuru juu ccm wametoka kapa viwanja vya bank nakuambia mzee tupatupa wa lumumba sio nyimbo za komba tu ila ccm imechokwa huku kisukuru juu hawana bao
Ukiona watu wazima wamefikia huku , ujue ndio basi tena ?
 

Attachments

  • attachment.jpeg
    attachment.jpeg
    11.3 KB · Views: 131
Mambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very outdated.

Wananchi wanatudharau. Wanaona tunawaletea laana. Na kuiendeleza. Wanaapa kutuangusha. Wa wapi wale wanamuziki wa kizazi kipya tuwatumiao?

Nyimbo za zamani. Bendi ya zamani. Halafu tunakusanyia watu sasa tena mjini? Shame. Zi wapi bongo fleva na rusharoho? Tubadilike

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Si bora bora mngemchukua huyu DALLI KIMOKO basi !
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    15.1 KB · Views: 103
... hat approach ya kizamani kushawishi watu wawapigie kura. Mathalani hapa mtaani kwetu (segerea -ugombolwa) tumakeaa vikao vingi sana vya mtaa kuhusu kuchangisha fedha ili kurekebisha barabara kupunguza mashimo zoezi ambalo linasua sua mpaka lew, ila waheshimiwa juzi wamekuja na GREDA na kukwangua kwa MBAALI barabara ILI WAPATE KURA. miaka yote hii wapo wapi na tukiwachagua sasa greda litakuja UCHAGUZI MWINGINE maanayaek!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom