Tatizo mmesha kuwa vipofu na UCCM na mnasahau kabisa utaifa na uzalendo kwa nchi na wananchi wake matokeo yake wahuni wanapita huko huko mgongoni kwa chama kufahulisha ajenda zao za wizi wa rasilimali za umma na wizi wa fedha za umma na uhujumu wa miradi ya umma kwa maslahi yao na watoto wao huku nyie wafia chama mkiletewa baskeli na na posho za elfu kumi kumi huku kuimbishwa nyimbo za iyena. iyena