DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 679
Na Thadei Ole Mushi
Huwa napenda Sana kumchallenge Mwenezi wa Chama changu CCM, Rafiki yangu Ndugu Humfrey Polepole. Naamini Ni mjenzi mzuri wa Hoja na Logic hebu tu build Logic hapa from the ground.
Mashinji na kina Mbowe waliandamana na Kusababisha Kifo cha Mtoto ambaye ni very Innocent Akwilina, Kitendo kile kichukuliwa na Jamhuri kuwa Ni uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi kwa jamii. Wakashitakiwa na kukutwa na Makosa 12. Mashinji Ni mwanachama wa kawaida kabisa wa CCM ambaye alivunja Sheria za Nchi Kama wanaccm wenzake. Tuna logic tatu hapa za kujenga;-
1. CCM inashiriki Sasa Moja kwa Moja kusupport uvunjifu wa amani? Maana Chadema wao wanachangishana kwa kuwa hawakubaliani na Hukumu je tumeiga tu na sisi tuonekane tumo?
2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?
3. Kwa kuwa Chadema inamchangia Mbowe na Viongozi wengine wa Chama Chao kwa sababu hawakubaliani na Hukumu ya makosa yao je hatuoni na sisi tunapingana na Jamhuri? Sio kwamba tumiega tu Chadema?
Hizi fedha angelipiwa tu kimya kimya Tena aonekane anaomba omba kila mahali kuonyesha hatukupendezwa na Uchochezi ule.
Tumejitofautishaje na Chadema kwenye Kesi ile Sasa? Nawaona vijana wa CCM wanakimbizana na mwenezi kuonyesha wao Ni wa Kwanza kulipa fain ya mashinji ila wameaacha kufanya hesabu ndogo Sana huku njee.
Ole Mushi
0712702602