SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,974
- 75,056
Ametolewa kwa malikauliKwa taarifa, hakuna pesa imelipwa kwa ajili ya Mashinji. Ni maigizo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Uso unasawajikaHii ndo ile unafanya kitu, ukiulizwa kwa nini ulifanya uso unabaki na hali isiyoeleweka maana uso unakuwa na mixer ya kicheko na huzuni dzain mdomo na pua vinacheza bila ridhaa yako 😀😆
Sawa, lakini watu wanacheza na kinachokisema... UKISEMA umemlipia wanakuuliza maswali kama hivi.. Ukisema unajenga miradi kwa hela zako za ndani, UNAULIZWA KWANINI UNAKOPA SASA..Maana barua ya Zitto kuhusu mikopo wanaCCM walio wengi pamoja na wabunge walilalama kuwa Zitto haitakii mema nchi...Kwa taarifa, hakuna pesa imelipwa kwa ajili ya Mashinji. Ni maigizo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
I like thisSlow learners.. Huwa wana elewa baada y akufanya kosa. Learning through mistakes.. Na wao Ccm kumchangia ng'ombe alie katwa mkia wanaona ni ujiko kumbe on the other hand wanaisaidia Chadema ku prove kwamba ile hukumu haikuwa sawa ndio maana na wao wakawa na huruma na mwanachama wao ambae alionewa akiwa chama cha upinzani.
Hawa ndio viongozi wanao msaidia Mwenyekiti wa Chama chetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono mkuu. Kwa kuongezea tu ni kwamba CHADEMA siyo kwamba hakina 350M. Hii kuchangisha kwa mtu mwenye akili atapata tafsiri mbili:Na Thadei Ole Mushi
Huwa napenda Sana kumchallenge Mwenezi wa Chama changu CCM, Rafiki yangu Ndugu Humfrey Polepole. Naamini Ni mjenzi mzuri wa Hoja na Logic hebu tu build Logic hapa from the ground.
Mashinji na kina Mbowe waliandamana na Kusababisha Kifo cha Mtoto ambaye ni very Innocent Akwilina, Kitendo kile kichukuliwa na Jamhuri kuwa Ni uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi kwa jamii. Wakashitakiwa na kukutwa na Makosa 12. Mashinji Ni mwanachama wa kawaida kabisa wa CCM ambaye alivunja Sheria za Nchi Kama wanaccm wenzake. Tuna logic tatu hapa za kujenga;-
1. CCM inashiriki Sasa Moja kwa Moja kusupport uvunjifu wa amani? Maana Chadema wao wanachangishana kwa kuwa hawakubaliani na Hukumu je tumeiga tu na sisi tuonekane tumo?
2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?
3. Kwa kuwa Chadema inamchangia Mbowe na Viongozi wengine wa Chama Chao kwa sababu hawakubaliani na Hukumu ya makosa yao je hatuoni na sisi tunapingana na Jamhuri? Sio kwamba tumiega tu Chadema?
Hizi fedha angelipiwa tu kimya kimya Tena aonekane anaomba omba kila mahali kuonyesha hatukupendezwa na Uchochezi ule.
Tumejitofautishaje na Chadema kwenye Kesi ile Sasa? Nawaona vijana wa CCM wanakimbizana na mwenezi kuonyesha wao Ni wa Kwanza kulipa fain ya mashinji ila wameaacha kufanya hesabu ndogo Sana huku njee.
Ole Mushi
0712702602
Ulipoambiwa Mungu humuumbuwa mnafiki hukuelewa au ndio wale waleNa Thadei Ole Mushi

Haya sasaUnaposema chadema wanachangishana na kulipa faini ni kwa sababu hawakubaliani na Hukumu una maanisha nn?au huelewi kuwa wamehukumiwa kulipa fine au kwenda jela.so wao wamechagua kulipa fine,na sio kwenda jela.
Kwa hiyo hata CCM kumlipia fine Dr.Mashinji sio kukiuka uamuzi wa Mahakama,Bali ni kukubaliana na Hukumu.
Rais pia katoa wauwaji wa AkwilinaNa Thadei Ole Mushi
Huwa napenda Sana kumchallenge Mwenezi wa Chama changu CCM, Rafiki yangu Ndugu Humfrey Polepole. Naamini Ni mjenzi mzuri wa Hoja na Logic hebu tu build Logic hapa from the ground.
Mashinji na kina Mbowe waliandamana na Kusababisha Kifo cha Mtoto ambaye ni very Innocent Akwilina, Kitendo kile kichukuliwa na Jamhuri kuwa Ni uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi kwa jamii. Wakashitakiwa na kukutwa na Makosa 12. Mashinji Ni mwanachama wa kawaida kabisa wa CCM ambaye alivunja Sheria za Nchi Kama wanaccm wenzake. Tuna logic tatu hapa za kujenga;-
1. CCM inashiriki Sasa Moja kwa Moja kusupport uvunjifu wa amani? Maana Chadema wao wanachangishana kwa kuwa hawakubaliani na Hukumu je tumeiga tu na sisi tuonekane tumo?
2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?
3. Kwa kuwa Chadema inamchangia Mbowe na Viongozi wengine wa Chama Chao kwa sababu hawakubaliani na Hukumu ya makosa yao je hatuoni na sisi tunapingana na Jamhuri? Sio kwamba tumiega tu Chadema?
Hizi fedha angelipiwa tu kimya kimya Tena aonekane anaomba omba kila mahali kuonyesha hatukupendezwa na Uchochezi ule.
Tumejitofautishaje na Chadema kwenye Kesi ile Sasa? Nawaona vijana wa CCM wanakimbizana na mwenezi kuonyesha wao Ni wa Kwanza kulipa fain ya mashinji ila wameaacha kufanya hesabu ndogo Sana huku njee.
Ole Mushi
0712702602
Sasa hii namba uloweka chini ni ya nini???Na Thadei Ole Mushi

Umehamia lini fisiem bby?Kwanza CCM wameenda kama chama hawajaenda kama serikali. Pili tunaweza kusema Mashinji aliyafanya hayo akiwa 'gizani' sasa ameongoka tunamsaidia kubeba baadhi ya 'dhambi' zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia slow slow alienda na briefcase yenye makaratasi akarudi na risiti ya malipo. 😅😅Kwa taarifa, hakuna pesa imelipwa kwa ajili ya Mashinji. Ni maigizo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Polepole na wenzake wanachekelea kama mazuzu kwamba wamemkomboa mtu aliyekuwa anawananga!