CCM tumeiga au hatujui tunachokifanya?

CCM tumeiga au hatujui tunachokifanya?

Hawakuliwaza hili, ccm hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Slow learners.. Huwa wana elewa baada y akufanya kosa. Learning through mistakes.. Na wao Ccm kumchangia ng'ombe alie katwa mkia wanaona ni ujiko kumbe on the other hand wanaisaidia Chadema ku prove kwamba ile hukumu haikuwa sawa ndio maana na wao wakawa na huruma na mwanachama wao ambae alionewa akiwa chama cha upinzani.
Hawa ndio viongozi wanao msaidia Mwenyekiti wa Chama chetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemuona wa maana sana mwenezi wangu kama angechangisha michango kwa ajili ya familia ya Akwilina, kuliko kuwaiga chadema.
 
Kwanza CCM wameenda kama chama hawajaenda kama serikali. Pili tunaweza kusema Mashinji aliyafanya hayo akiwa 'gizani' sasa ameongoka tunamsaidia kubeba baadhi ya 'dhambi' zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Thadei Ole Mushi

2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?
Hao wanachama walioko magereza wapo magereza kwa makosa ya kisiasa? Yaani unataka CCM wawalipie fine wanachama wake walio magereza hata kwa makosa ya jinai kama kupigana au kutukana?

Ndio maana nasema watu wengi katika CCM ni mashabiki tu lakini hamna uwezo wa kuelewa mambo. Ona sasa unalinganisha "kosa" la Mashinji la kisiasa na hao wahalifu wenu walioko gerezani halafu unasema Mashinji amependelewa.

Nakuhakikishia, hakuna mwanachama wa CCM hata mmoja ambaye yuko gerezani kwa kosa la kisiasa, kwa sababu kesi zote za makosa ya kisiasa zinafanyika kwa shinikizo la CCM, na CCM haiwezi kushinikiza kesi za kisiasa dhidi ya wanachama wake.
 
Toa list ya hao wana ccm ili twende sawa,

cheap popularity
Na Thadei Ole Mushi

Huwa napenda Sana kumchallenge Mwenezi wa Chama changu CCM, Rafiki yangu Ndugu Humfrey Polepole. Naamini Ni mjenzi mzuri wa Hoja na Logic hebu tu build Logic hapa from the ground.

Mashinji na kina Mbowe waliandamana na Kusababisha Kifo cha Mtoto ambaye ni very Innocent Akwilina, Kitendo kile kichukuliwa na Jamhuri kuwa Ni uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi kwa jamii. Wakashitakiwa na kukutwa na Makosa 12. Mashinji Ni mwanachama wa kawaida kabisa wa CCM ambaye alivunja Sheria za Nchi Kama wanaccm wenzake. Tuna logic tatu hapa za kujenga;-

1. CCM inashiriki Sasa Moja kwa Moja kusupport uvunjifu wa amani? Maana Chadema wao wanachangishana kwa kuwa hawakubaliani na Hukumu je tumeiga tu na sisi tuonekane tumo?

2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?

3. Kwa kuwa Chadema inamchangia Mbowe na Viongozi wengine wa Chama Chao kwa sababu hawakubaliani na Hukumu ya makosa yao je hatuoni na sisi tunapingana na Jamhuri? Sio kwamba tumiega tu Chadema?

Hizi fedha angelipiwa tu kimya kimya Tena aonekane anaomba omba kila mahali kuonyesha hatukupendezwa na Uchochezi ule.

Tumejitofautishaje na Chadema kwenye Kesi ile Sasa? Nawaona vijana wa CCM wanakimbizana na mwenezi kuonyesha wao Ni wa Kwanza kulipa fain ya mashinji ila wameaacha kufanya hesabu ndogo Sana huku njee.

Ole Mushi
0712702602
 
Kwa Mashinji, CCM ilikamatwa katikati..

Wangemuacha asote jela kungeleta tafsiri nyingine.

Wamejaribu kucheza karata ambayo nayo ni ngumu pia kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Food for the thought...!!! Contemplating beyond normal thinking... A simple argument but powerful one and very well constructed..
Na Thadei Ole Mushi

Huwa napenda Sana kumchallenge Mwenezi wa Chama changu CCM, Rafiki yangu Ndugu Humfrey Polepole. Naamini Ni mjenzi mzuri wa Hoja na Logic hebu tu build Logic hapa from the ground.

Mashinji na kina Mbowe waliandamana na Kusababisha Kifo cha Mtoto ambaye ni very Innocent Akwilina, Kitendo kile kichukuliwa na Jamhuri kuwa Ni uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi kwa jamii. Wakashitakiwa na kukutwa na Makosa 12. Mashinji Ni mwanachama wa kawaida kabisa wa CCM ambaye alivunja Sheria za Nchi Kama wanaccm wenzake. Tuna logic tatu hapa za kujenga;-

1. CCM inashiriki Sasa Moja kwa Moja kusupport uvunjifu wa amani? Maana Chadema wao wanachangishana kwa kuwa hawakubaliani na Hukumu je tumeiga tu na sisi tuonekane tumo?

2. Ni Wana CCM wangapi wapo magereza waliotakiwa kulipa tu faini ya Milioni Kumi? Huyu Mashinji amepataje uspesho wa Mara Moja ndani ya chama au tumeiga tu Chadema?

3. Kwa kuwa Chadema inamchangia Mbowe na Viongozi wengine wa Chama Chao kwa sababu hawakubaliani na Hukumu ya makosa yao je hatuoni na sisi tunapingana na Jamhuri? Sio kwamba tumiega tu Chadema?

Hizi fedha angelipiwa tu kimya kimya Tena aonekane anaomba omba kila mahali kuonyesha hatukupendezwa na Uchochezi ule.

Tumejitofautishaje na Chadema kwenye Kesi ile Sasa? Nawaona vijana wa CCM wanakimbizana na mwenezi kuonyesha wao Ni wa Kwanza kulipa fain ya mashinji ila wameaacha kufanya hesabu ndogo Sana huku njee.

Ole Mushi
0712702602

Jr
 
Kwanza CCM wameenda kama chama hawajaenda kama serikali. Pili tunaweza kusema Mashinji aliyafanya hayo akiwa 'gizani' sasa ameongoka tunamsaidia kubeba baadhi ya 'dhambi' zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Msingi wa Chadema kuhamasisha michango unachagizwa na hoja kuwa viongozi wao wameonewa na hawakutendewa haki na mahakama,tena wanaenda mbali na kusema hukumu ina influence ya 'nyumba nyeupe'. Na wanaochanga wanakubaliana na muktadha huo.

Je ccm pia wanaamini hukumu haikuwa ya haki?

Je wanapigia pia mstari kuwa 'nyumba nyeupe' inahusika?

Je wanamlipia kwa kuwa hakuhusika,alionewa ama wanaunga mkono uchochezi alioufanya na kusababisha mauaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom