CCM tuliwaambia, sasa mbona mnaweweseka?

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Hivi karibuni nilikutana na kigogo mmoja wa CCM ambaye alilalamika sana kwamba propaganda za CCM kwamba CHADEMA inakufa ziliwadanganya hata wao wenyewe kumbe ilikuwa inaimarika. Kigogo huyo alinidokeza kwamba uchaguzi wa CHADEMA hasa ngazi ya wilaya umewapa mshutuko mkubwa kwani kwa tathmini yao hauwezi kuiacha CCM salama.

Aliniambia ktk kikao cha
CCM ambacho kingefanyika karibuni yatatoka maamzi magumu yatakayoiumiza CHADEMA. Alisema tuhuma zilizotungwa za mauaji dhidi ya viongozi wakuu wa CHADEMA zitajadiliwa kwa umakini na uenda ikatolewa amri ya kukamatwa. Kinachotiliwa mashaka ni kama uamuzi huo hautaleta vurugu au kuipandisha zaidi CHADEMA.

"Asikudanganye mtu kikao kijacho hakitajadili mchakato wa katiba kama watakavyotangaza, bali m/kiti wetu anaenda kuwaweka watu kitimoto baada ya habari kuvuja kwake kwamba
CHADEMA ni imara sana ngazi ya chini kuliko tulivyotarajia" Inatarajiwa pia kamati kuu itahairisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa Octoba mwaka huu. Pamoja na kisingizio cha sheria mbovu lakini ukweli ni kwamba wanataka kupima kwanza impact ya uchaguzi huu wa CHADEMA.

Huko nyuma tulisema
CCM wanahangaika kupandikiza mamluki na kuchafua chama huku chini katibu mkuu wetu akiwa busy kujenga chama kama taasisi.

Niliwahi kuandika humu kwamba wakija kumaliza kupiga propaganda zao ndo watakuja kujua kwamba Dr. Slaa alisomea kujenga jumuhiya. Walibeza, wakadharau, wakapuuza sasa wanaweweseka nini? Hata mkiwakamata viongozi wakuu haiwasadii maana watakaoratibu maandamano ni viongozi hawa ngazi za wilaya.
 
Ngoja tusubiri nape aje na tamko la cc,sisi kama wanachama wa chama kinachowanyima usingizi ccm tuko tayari kufa na viongozi wetu kama mlivyo tayari nyie kutetea serikali mbili wakati haipo kwenye rasimu ya pili ya katiba
 
uimara wa cdm uko wapi??? Mbona chopa tatu kata tatu, jaribu kutembelea majimbo ambayo yanawabunge wa cdm, alafu uniambie ni wangapi wamepita kwa kosa la ccm kumchagua wrong person kwa sababu ya makundi na rushwa na je ni wangapi watarudi bungeni 2015 endapo ccm haitafanya kosa walilolifanya 2010, kwa mfano tu, hapa arumeru moja kwa moja hesabu nassary utamuona tena bungeni, endelea..............
 
Mbona kama ni hivyo wabunge wa CCM ambao hawana uhakika wa kurudi ni wengi kuliko wa CDM? Jipeni moyo.
 
Hivi karibuni nilikutana na kigogo mmoja wa Ccm ambaye alilalamika sana kwamba propaganda za Ccm kwamba Chadema inakufa ziliwadanganya hata wao wenyewe kumbe ilikuwa inaimarika. Kigogo huyo alinidokeza kwamba uchaguzi wa Chadema hasa ngazi ya wilaya umewapa mshutuko mkubwa kwani kwa tathmini yao hauwezi kuiacha Ccm salama.

Aliniambia ktk kikao cha CC ambacho kingefanyika karibuni yatatoka maamzi magumu yatakayoiumiza Chadema. Alisema tuhuma zilizotungwa za mauaji dhidi ya viongozi wakuu wa Chadema zitajadiliwa kwa umakini na uenda ikatolewa amri ya kukamatwa. Kinachotiliwa mashaka ni kama uamuzi huo hautaleta vurugu au kuipandisha zaidi Chadema.

"Asikudanganye mtu kikao kijacho hakitajadili mchakato wa katiba kama watakavyotangaza, bali m/kiti wetu anaenda kuwaweka watu kitimoto baada ya habari kuvuja kwake kwamba Chadema ni imara sana ngazi ya chini kuliko tulivyotarajia" Inatarajiwa pia kamati kuu itahairisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa Octoba mwaka huu. Pamoja na kisingizio cha sheria mbovu lakini ukweli ni kwamba wanataka kupima kwanza impact ya uchaguzi huu wa Chadema.

Huko nyuma tulisema Ccm wanahangaika kupandikiza mamluki na kuchafua chama huku chini katibu mkuu wetu akiwa busy kujenga chama kama taasisi. Niliwahi kuandika humu kwamba wakija kumaliza kupiga propaganda zao ndo watakuja kujua kwamba Dr Slaa alisomea kujenga jumuhiya. Walibeza, wakadharau, wakapuuza sasa wanaweweseka nini? Hata mkiwakamata viongozi wakuu haiwasadii maana watakaoratibu maandamano ni viongozi hawa ngazi za wilaya.

Huu nao ni ufuumbafu wa vilaza wa Chadema
 
uimara wa cdm uko wapi??? Mbona chopa tatu kata tatu, jaribu kutembelea majimbo ambayo yanawabunge wa cdm, alafu uniambie ni wangapi wamepita kwa kosa la ccm kumchagua wrong person kwa sababu ya makundi na rushwa na je ni wangapi watarudi bungeni 2015 endapo ccm haitafanya kosa walilolifanya 2010, kwa mfano tu, hapa arumeru moja kwa moja hesabu nassary utamuona tena bungeni, endelea..............

Kwa hiyo unawasemea wana arumeru? Huo tunaita wivu wa kike!
Acha kumuonea wivu nassary ni bahati yake...kama vipi meza wembe au jinyonge!
 
Mkuu, hata mie namshangaa sana mpk. Yaani viongozi wa chadema wanapatikana kwa njia za magumashi halafu wanasema kuwa chama kipo imara! Hakika chama hiki kimejaa mataahira
 
Wewe utakuwa ni wale anawake wacheza vigodoro. Baada ya serikali kuipiga marufuku, ndo umeajiriwa Kinondoni na ndo maana unaandika pumba tu
 
Kundi la UKAWA nawapenda sana. Chadema iko imara wanatembea speed mia 100 kazi nzuri sana.
 
Hivi karibuni nilikutana na kigogo mmoja wa Ccm ambaye alilalamika sana kwamba propaganda za Ccm kwamba Chadema inakufa ziliwadanganya hata wao wenyewe kumbe ilikuwa inaimarika. Kigogo huyo alinidokeza kwamba uchaguzi wa Chadema hasa ngazi ya wilaya umewapa mshutuko mkubwa kwani kwa tathmini yao hauwezi kuiacha Ccm salama.

Aliniambia ktk kikao cha CC ambacho kingefanyika karibuni yatatoka maamzi magumu yatakayoiumiza Chadema. Alisema tuhuma zilizotungwa za mauaji dhidi ya viongozi wakuu wa Chadema zitajadiliwa kwa umakini na uenda ikatolewa amri ya kukamatwa. Kinachotiliwa mashaka ni kama uamuzi huo hautaleta vurugu au kuipandisha zaidi Chadema.

"Asikudanganye mtu kikao kijacho hakitajadili mchakato wa katiba kama watakavyotangaza, bali m/kiti wetu anaenda kuwaweka watu kitimoto baada ya habari kuvuja kwake kwamba Chadema ni imara sana ngazi ya chini kuliko tulivyotarajia" Inatarajiwa pia kamati kuu itahairisha uchaguzi wa serikali za mitaa wa Octoba mwaka huu. Pamoja na kisingizio cha sheria mbovu lakini ukweli ni kwamba wanataka kupima kwanza impact ya uchaguzi huu wa Chadema.

Huko nyuma tulisema Ccm wanahangaika kupandikiza mamluki na kuchafua chama huku chini katibu mkuu wetu akiwa busy kujenga chama kama taasisi. Niliwahi kuandika humu kwamba wakija kumaliza kupiga propaganda zao ndo watakuja kujua kwamba Dr Slaa alisomea kujenga jumuhiya. Walibeza, wakadharau, wakapuuza sasa wanaweweseka nini? Hata mkiwakamata viongozi wakuu haiwasadii maana watakaoratibu maandamano ni viongozi hawa ngazi za wilaya.

Kwa maon ya watanzania wengi ambao nimewasikia wamesema ccm ikitaka kuvuka salama impitishe prof. Anna tibaijuka agombee urais 2015 vinginevyo wakiwapitisha mafisad tu itakula kwao
 
uimara wa cdm uko wapi??? Mbona chopa tatu kata tatu, jaribu kutembelea majimbo ambayo yanawabunge wa cdm, alafu uniambie ni wangapi wamepita kwa kosa la ccm kumchagua wrong person kwa sababu ya makundi na rushwa na je ni wangapi watarudi bungeni 2015 endapo ccm haitafanya kosa walilolifanya 2010, kwa mfano tu, hapa arumeru moja kwa moja hesabu nassary utamuona tena bungeni, endelea..............

Ushindi Wa ccm niwakibabe tu,kama time ingekuwa huru,ikatenda haki,maeneo mengi ccm wangeshindwa,watanzania wote tunafahamu hilo,na hata maeneo ambayo upinzani walitangazwa washindi,ilikuwa ni kwa mbinde,mpaka watu waandamane ndiyo mshindi anatangazwa,tena kwakuchelewa,inachukua Siku hadi nne au wiki kabisa,hiyo inaonesha na kuthibitisha jinsi ushindi Wa ccm ulivyo Wa kibabe na si Wa halali!
 
Wewe utakuwa ni wale anawake wacheza vigodoro. Baada ya serikali kuipiga marufuku, ndo umeajiriwa Kinondoni na ndo maana unaandika pumba tu

Wewe umeajiliwa Lumumba kuhujumu na kunyonya wananchi indirectly kwa kushabikia wezi Wa rslimali za nchi kwa faida yao binafsi
 
Mkuu, hata mie namshangaa sana mpk. Yaani viongozi wa chadema wanapatikana kwa njia za magumashi halafu wanasema kuwa chama kipo imara! Hakika chama hiki kimejaa mataahira

Kila kitu ni cha ccm,tume,polisi,serikali kwa ujumla,viongozi Wa hivyo vyombo nilivyovitaja huteuliwa na rais,ambaye utakuta ndiye mgombea,unategemea nini?kama uchaguzi ungekuwa Wa haki,ccm tungelikwisha isahau,hata wewe unalijua hili,unajifanya tu kujiondoa ufahamu.
 
Chadema ilikua zamani bwana hamna kitu kwa sasa wamebaki wabwekaji tu! Kubweka bweka
 
Back
Top Bottom