CCM tuliwaambia, sasa mbona mnaweweseka?

uimara wa cdm uko wapi??? Mbona chopa tatu kata tatu, jaribu kutembelea majimbo ambayo yanawabunge wa cdm, alafu uniambie ni wangapi wamepita kwa kosa la ccm kumchagua wrong person kwa sababu ya makundi na rushwa na je ni wangapi watarudi bungeni 2015 endapo ccm haitafanya kosa walilolifanya 2010, kwa mfano tu, hapa arumeru moja kwa moja hesabu nassary utamuona tena bungeni, endelea..............

Arusha umlisema hayohayo maneno
 
Uimara wa chama unapimwa na kipimo cha uchaguzi.sasa uimara wa cdm uko wapi labda kupiga viroba

endelea kujiaminisha hvyo. Chadema ni zaidi ya upeo wako. Tunapambana vya kutosha na kipindi hki lazima mtukome
 
Chadema imeipeleka CCM mochwari kutokana na dharau na kiburi cha CCM. Sasa hawana pa kutojea hasa Sita baada ya kulahishishia kazi CHADEMA.
 
Watakufa sana, stay tuned!
 
Nani aweweseke mziki wa ccm ni mziki mnene hamuukuti kabisa aaa
 
MARUMBANO YA HOJA,ki ukweli ccm inanuka,nawachukia ccm kama vyoo vya sekondri za kata.
 
Dada mopaozi a cha kufikiri kwa kutumia miguu au nawe ni katoto kafisadi maana ccm no majizi
 
uimara wa cdm uko wapi??? Mbona chopa tatu kata tatu, jaribu kutembelea majimbo ambayo yanawabunge wa cdm, alafu uniambie ni wangapi wamepita kwa kosa la ccm kumchagua wrong person kwa sababu ya makundi na rushwa na je ni wangapi watarudi bungeni 2015 endapo ccm haitafanya kosa walilolifanya 2010, kwa mfano tu, hapa arumeru moja kwa moja hesabu nassary utamuona tena bungeni, endelea..............
ccm kwishinei, CHADEMA go gooo.
 
Back
Top Bottom