Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,026
- 74,704
Wewe umeajiliwa Lumumba kuhujumu na kunyonya wananchi indirectly kwa kushabikia wezi Wa rslimali za nchi kwa faida yao binafsi
Mkuu unadhani Lizaboni ni mtu mmoja? Hiyo ID unaweza kukuta inatumiwa na watu 10 au zaidi ndio maana huoni akichoka kupost. Usicheze na kile kitengo tulichoambiwa kimechotewa Bils kadhaa kuelekea 2015.
Tatizo wamekosa waajiriwa wenye weledi bali vituko.
Sent from my iPad using JamiiForums
Last edited by a moderator: