CCM tukiendelea kuzuia mikutano ya kisiasa tuna wakati mgumu mbeleni

Nadhan nimejariwa kuongea ukwel na kusimama kwenye kwel daima mana nimeiona nikiandika lile linahusu chama changu wanakuja MASHABIKI wa chama na kunishambulia kwa nguvu nyingi katika thread tofautitofauti ,Mfano thread iliyohusu kumjibu lissu kipind anatuchafua ughaibun kuwa apuuzwe,thread kuhusu suala la korosho kuwa tulichemsha na ikaja thread ya wasaidizi wa mh. rais kutuchosha watetezi wao mitandaoni mana kila siku wanaharibu.
Pia hata hiki nimekileta hapa watakuja tena MASHABIKI kunidhiaki bila kujua mimi ni mwana CCM penye kwel nitaongea kwel daima kwenye uongo nitakaa pembeni daima. Mana imetokea tabia nyie wasaka vyeo kuwa na haraka kuliko hata wenye imani na kijani katika damu ko lolote chama kikishauriwa nyie kazi yenu ni kumtolea kashfa anaetoa ushauri ambao hamtaupenda.
Turudi katika topic, Nadhan jana ilikuwa siku ya Wanawake duniani lakin katika pitapita zangu mitandaoni kuna khari ambayo niliona kule Geita jinsi Wanawake wa Bavicha walivyosherekea siku yao nikaona kwa hari hii kuna ugumu mbeleni mana pamoja na kuwekewa ngumu yote lakin walituonesha namna ambavyo wapo hai na kukataza mikutano yao kote bado nguvu wanayo.
Mana kiukwel wanawake wetu wa CCM walizidiwa pale katika kuufurahia siku yao nikaona kuna haja ya hii sera kuachana nayo ili wote tuwe huru ili tuwapime nguvu bila hivo hii sera itakuja ku backfire upand wetu mana tutabweteka kuwa tuna nguvu lakin hatujui waliyonayo watanzania mioyoni mwao inakuwa kama tunawalazimisha kutupenda wakat matendo ndo yafanye watupende.
Mimi ni muumini wa uwanja huru ili tucheze wote tushindane wote ili ijulikane nan mshindi katika hii michezo lakin upand mmoja ukiwa unacheza mwingine unaambiwa hamna kugusa mpira ingawa upo uwanjani hata mashabiki wa upand unaocheza wataona huu si mchezo bali wamepoteza viingilio vyao.

NB; CCM ina wenye chama na wanachama zingatia hilo kabla ya kuja kunitukana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja kwanza nipitie thread zako zingine nijue kwanza kama wewe ni mwana CCM mwenzetu...
 
Upinzani nchi hii bado una nguvu poleni sana CCM na m/kiti wao.

Manunuzi, chaguzi za kihuni,kuweka ndani,kuzuia siasa ,Sheria kandamizi,kulazimishwa kuangalia TBC, bado vimeshindwa kuuuwa upinzani ndo kwanza unapigiwa kampeni,
 
Utukufu Mwanjisi umeandika jambo la hekima sana.Tatizo la Magufuli ni kudhani kwamba ukinzani ni watu kuvaa sare za chama kinachokuwa tofauti na cha kwake.Kumbe ukinzani huanzia moyoni.Mavazi ni kuifunika ngozi ya juu ya mwili tu.
Harafu watu wanasema ana PhD,yaani PhD holder anaweza akashindwa kuielewa hii logic ndogo kabisa ya kiwango ya standard two? No wonder Bin Saanane amepotea
 
Mkuu fuatilia historia vizur ya hivyo vyama havikuwa na mizizi ya kutosha kama Ccm nakupa mfano muangalie tu mjumbe wa mtaani kwako chama gan ndo utaijua nguvu ya CCM so kuondoka sio leo wala kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu
Certified idiot

Unaleta maoni halafu unaanza kuyakataa mwenyewe

Huwezi kuwa baridi na moto kwa wakati mmoja, Nini maana Ya kutoa maoni ili watu wachangie tofauti na wewe
 
Utukufu Mwanjisi kama hujatimuliwa ccm kufikia jioni ya leo basi ukatambike , ccm ya awamu ya 5 hamna kitu kabisa , wanalazimika kupinga upinzani kwa sababu ya uoga , hivi ni mwananchi gani atahudhuria mikutano ya ccm ambayo mwenyekiti wake anatukana watu ?
 
WAPINZANI WA NCHI HII NI WEPESI SANA SIJUI TUNAWAOGOPEA NIN WAKAT CHAMA KINA KILA MTU WA KUCHEZA VIZURI KATIKA NAFASI YAKE KO HAWAWEZ KUSHINDA KATIKA MECHI YA AINA YOYOTE ILE ILE MCHANGANI,CHAMANZI AU KWENYE NYASI NDANDATULA(kinyakyusa )

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndipo Mtakapo shangaaa!!!!...kuna Kura za Kuiba ila Sio Landslide.

Refarii anaweza kukusaidi kama Timu Nyingine imekupiga Bao Mbili Moja au tatu Mbili
Ila Ukipigwa Hamsini Kwa Tatu hakuna Wa Kukusaidia.
Jiandaeni Kisaikolojia Kukabidhi nchi ya wenyewe.
 
Wewe ni mpumbavu
Certified idiot

Unaleta maoni halafu unaanza kuyakataa mwenyewe

Huwezi kuwa baridi na moto kwa wakati mmoja, Nini maana Ya kutoa maoni ili watu wachangie tofauti na wewe
Punguza jazba kijana yang usije onesha hasira kwa mtu mwenye IQ kubwa kuliko ukoo wako wote utapoteana. ...mimi nimeleta maoni suala la mikutano ya hadhara sikuleta kuonesha kuwa Ccm inaweza ikawa kama KANU sijui nn hapana na nimemjibu vizur tu ndo mana kaelewa na kakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utukufu Mwanjisi kama hujatimuliwa ccm kufikia jioni ya leo basi ukatambike , ccm ya awamu ya 5 hamna kitu kabisa , wanalazimika kupinga upinzani kwa sababu ya uoga , hivi ni mwananchi gani atahudhuria mikutano ya ccm ambayo mwenyekiti wake anatukana watu ?
Mkuu sidhan kama kuna kutimuliwa katika chama changu mana kina kila mtu wa aina yake mimi nina aina ya filikunjombe na kangi lugola(wa 2015 kurudi nyuma )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena Watanzania Tulivyo na Usongo!...tunaenda Kolomije tunachinja Ng'ombe halafu tunamla baada ya kujiridhisha kuwa tumeshiba, Tunamning'iza kwa kamba Yule Mkuu wa Mkao wa Sardalama..kudaaadekii!! Ngojeni 2920
 
Ndipo Mtakapo shangaaa!!!!...kuna Kura za Kuiba ila Sio Landslide.

Refarii anaweza kukusaidi kama Timu Nyingine imekupiga Bao Mbili Moja au tatu Mbili
Ila Ukipigwa Hamsini Kwa Tatu hakuna Wa Kukusaidia.
Jiandaeni Kisaikolojia Kukabidhi nchi ya wenyewe.
Hivi mkuu unajua huku ulikoondoka kumenoga sana Rudi mana uliemfuata huko bwana Lowassa amesharud na kaka yako Ahmed ally asharud

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza jazba kijana yang usije onesha hasira kwa mtu mwenye IQ kubwa kuliko ukoo wako wote utapoteana. ...mimi nimeleta maoni suala la mikutano ya hadhara sikuleta kuonesha kuwa Ccm inaweza ikawa kama KANU sijui nn hapana na nimemjibu vizur tu ndo mana kaelewa na kakaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Utafiti ulishafanywa na Twaweza kuwa wanachama wa ccm ni wale wasiojua kusoma na kuandika na wengine hata kiingereza hawawezi ongea mbele za wazungu

Utafiti ule ni jibu kwa tahira Kama wewe unaepiga kelele bila malipo

Kwa ufupi watu wanaitumikia ccm kwa maslahi iwe Ya biashara au binafsi

Wewe unashauri korosho hata hujui inauzwa wapi?

Unasema lisu apuuzwe, Wewe ni ccm mamluki, mtu anaongea na mashirika yanayoshikilia kondom za ndugu zako huko halafu Unasema ulishauri apuuzwe

Hoja hujibiwa kwa hoja Sio kwa ushauri

Ushauri mshauri Baba na Mama yako nyumbani, ushauri unaanza kwenye familia kwanza halafu uje kutushauri Kama Taifa

Mtu mzima unaongelea uwanja huru wa siasa huku ukifahamu chamani hamjui kusoma wala kuongea lugha za kimataifa
 
Nadhan nimejariwa kuongea ukwel na kusimama kwenye kwel daima mana nimeiona nikiandika lile linahusu chama changu wanakuja MASHABIKI wa chama na kunishambulia kwa nguvu nyingi katika thread tofautitofauti ,Mfano thread iliyohusu kumjibu lissu kipind anatuchafua ughaibun kuwa apuuzwe,thread kuhusu suala la korosho kuwa tulichemsha na ikaja thread ya wasaidizi wa mh. rais kutuchosha watetezi wao mitandaoni mana kila siku wanaharibu.
Pia hata hiki nimekileta hapa watakuja tena MASHABIKI kunidhiaki bila kujua mimi ni mwana CCM penye kwel nitaongea kwel daima kwenye uongo nitakaa pembeni daima. Mana imetokea tabia nyie wasaka vyeo kuwa na haraka kuliko hata wenye imani na kijani katika damu ko lolote chama kikishauriwa nyie kazi yenu ni kumtolea kashfa anaetoa ushauri ambao hamtaupenda.
Turudi katika topic, Nadhan jana ilikuwa siku ya Wanawake duniani lakin katika pitapita zangu mitandaoni kuna khari ambayo niliona kule Geita jinsi Wanawake wa Bavicha walivyosherekea siku yao nikaona kwa hari hii kuna ugumu mbeleni mana pamoja na kuwekewa ngumu yote lakin walituonesha namna ambavyo wapo hai na kukataza mikutano yao kote bado nguvu wanayo.
Mana kiukwel wanawake wetu wa CCM walizidiwa pale katika kuufurahia siku yao nikaona kuna haja ya hii sera kuachana nayo ili wote tuwe huru ili tuwapime nguvu bila hivo hii sera itakuja ku backfire upand wetu mana tutabweteka kuwa tuna nguvu lakin hatujui waliyonayo watanzania mioyoni mwao inakuwa kama tunawalazimisha kutupenda wakat matendo ndo yafanye watupende.
Mimi ni muumini wa uwanja huru ili tucheze wote tushindane wote ili ijulikane nan mshindi katika hii michezo lakin upand mmoja ukiwa unacheza mwingine unaambiwa hamna kugusa mpira ingawa upo uwanjani hata mashabiki wa upand unaocheza wataona huu si mchezo bali wamepoteza viingilio vyao.

NB; CCM ina wenye chama na wanachama zingatia hilo kabla ya kuja kunitukana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeongea neno ila unatuigizia humu
 
Utafiti ulishafanywa na Twaweza kuwa wanachama wa ccm ni wale wasiojua kusoma na kuandika na wengine hata kiingereza hawawezi ongea mbele za wazungu

Utafiti ule ni jibu kwa tahira Kama wewe unaepiga kelele bila malipo

Kwa ufupi watu wanaitumikia ccm kwa maslahi iwe Ya biashara au binafsi

Wewe unashauri korosho hata hujui inauzwa wapi?

Unasema lisu apuuzwe, Wewe ni ccm mamluki, mtu anaongea na mashirika yanayoshikilia kondom za ndugu zako huko halafu Unasema ulishauri apuuzwe

Hoja hujibiwa kwa hoja Sio kwa ushauri

Ushauri mshauri Baba na Mama yako nyumbani, ushauri unaanza kwenye familia kwanza halafu uje kutushauri Kama Taifa

Mtu mzima unaongelea uwanja huru wa siasa huku ukifahamu chamani hamjui kusoma wala kuongea lugha za kimataifa
Naweza tumia nguvu nying kubishana na mjinga mmoja kajificha nyuma ya keyboard toka huko tubishane kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mkuu unajua huku ulikoondoka kumenoga sana Rudi mana uliemfuata huko bwana Lowassa amesharud na kaka yako Ahmed ally asharud

Sent using Jamii Forums mobile app
Naah!!...Mimi nimehama Huko baada ya Kuona Mateso na Mauwaji dhidi ya Watanzania wenzangu...Kisa eti Wapinzani Mimi Lowassa alihama Wala Sikutetereka Mimi Viroba vilipoanza KuShow Up kwenye Mito na Pwani zetu,Watu Kuuliwa Huko Rufiji Lissu Daah!!!
Na Mambo Mengine mengi ya Kutisha Vikiwamo Vipigo.
Nikasema Tunaenda wapii?!!!
Wewe baki huko ambako Mkuu mmoja tu wa Mkoa Anamblack mail Mkuu wa Nchi.
 
Vyama vya kigaidi duniani ni pamoja na ALQAEDA, JANJAWEED, ISIL,BOKOHARAM, CCM, SOMALI PIRATES, na wengine ni WASIOJULIKANA, JIWE + BASHITE & Co., MAMBONOW & CO., MIGUU CHEMBA and KITOYOTA a.k.a KIBAJAJI & Co
 
Hii ya kuzuia mikutano italeta balaa si kwa umoja wa wanawake tu, maana mambo ambyo yangekuwa tayari yamejibiwa ndani ya miaka mitano ya awamu mtalazimika kuyajibu kwa kipindi kifupi cha kampeini na hakika hamtaweza, kumbuka kile unachomkataza binadamu yeye hupenda kujua kwa nini unakataza na ukifuatilia zaidi kuliko kile ulichomruhusu, AKILI MUKICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi personally naona scenario ya VENEZUELA kuja hapa. Ikiwa Lissu atagombea kwa tiketi ya upinzani, hatokubali dhulma kirahisi kama walivofanya wengine, atatumia every available resource kupigania haki If needs be hata loophole ya kujiapisha endapo sheria inatowa mwanya hata kama wa tundu ya sindano kuweza kufanya hivyo. Mark my words, itakuwa ni vita vikubwa vya kidiplomasia haivijawahi shuhudiwa barani Afrika.
 
Back
Top Bottom