CCM tukiendelea kuzuia mikutano ya kisiasa tuna wakati mgumu mbeleni

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,496
2,000
Nadhan nimejariwa kuongea ukwel na kusimama kwenye kwel daima mana nimeiona nikiandika lile linahusu chama changu wanakuja MASHABIKI wa chama na kunishambulia kwa nguvu nyingi katika thread tofautitofauti ,Mfano thread iliyohusu kumjibu lissu kipind anatuchafua ughaibun kuwa apuuzwe,thread kuhusu suala la korosho kuwa tulichemsha na ikaja thread ya wasaidizi wa mh. rais kutuchosha watetezi wao mitandaoni mana kila siku wanaharibu.
Pia hata hiki nimekileta hapa watakuja tena MASHABIKI kunidhiaki bila kujua mimi ni mwana CCM penye kwel nitaongea kwel daima kwenye uongo nitakaa pembeni daima. Mana imetokea tabia nyie wasaka vyeo kuwa na haraka kuliko hata wenye imani na kijani katika damu ko lolote chama kikishauriwa nyie kazi yenu ni kumtolea kashfa anaetoa ushauri ambao hamtaupenda.
Turudi katika topic, Nadhan jana ilikuwa siku ya Wanawake duniani lakin katika pitapita zangu mitandaoni kuna khari ambayo niliona kule Geita jinsi Wanawake wa Bavicha walivyosherekea siku yao nikaona kwa hari hii kuna ugumu mbeleni mana pamoja na kuwekewa ngumu yote lakin walituonesha namna ambavyo wapo hai na kukataza mikutano yao kote bado nguvu wanayo.
Mana kiukwel wanawake wetu wa CCM walizidiwa pale katika kuufurahia siku yao nikaona kuna haja ya hii sera kuachana nayo ili wote tuwe huru ili tuwapime nguvu bila hivo hii sera itakuja ku backfire upand wetu mana tutabweteka kuwa tuna nguvu lakin hatujui waliyonayo watanzania mioyoni mwao inakuwa kama tunawalazimisha kutupenda wakat matendo ndo yafanye watupende.
Mimi ni muumini wa uwanja huru ili tucheze wote tushindane wote ili ijulikane nan mshindi katika hii michezo lakin upand mmoja ukiwa unacheza mwingine unaambiwa hamna kugusa mpira ingawa upo uwanjani hata mashabiki wa upand unaocheza wataona huu si mchezo bali wamepoteza viingilio vyao.NB; CCM ina wenye chama na wanachama zingatia hilo kabla ya kuja kunitukana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,906
2,000
Hakuna kitu kibaya kama kuwa against time/era. Yani ni sawasawa na uanze kuwazuia wanao wasiwe na simu janja ktk nyakat hizi za teknolojia kubwa, hutaweza sabab itafika mahali watakuwa nazo tuu na wakizipata watahakikisha wanafanya yale yote walopitwa nayo.
Kwa iyo kuzuia mikutano sio dawa sabab watu wana hamu nayo sana, kwa hiyo siku wakiiachia hilo vibe lake halitakuwa la nchi hii sabab kwanza watu kwa sasa wana njaa san na mikutano ya kisiasa.
 
kamili

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,086
2,000
Umesahau wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya wilaya ni makada wa CCM, Umesahau chama tishio kwa CCM msajili anaweza kifutilia mbali, umesahau mabox ya kura yanaweza chukuliwa mbele ya polisi yakapelekwa kusikojulikana na baadae CCM ikatangazwa mshindi, umesahau fomu ya mgombea wa CCM inaweza pokelewa halafu mkurugenzi akajificha na akaibuka baada ya saa kupita na kutangaza wa CCM imepita bila kupingwa, umesahau wagombea wa upinzani wanaweza kamatwa kwa uchohezi au jinai na wakanyimwa dhamana mpaka uchaguzi upite. Mpinzani atakaye heshimika sana atanunuliwa na hakuna wa kufanya uchunguzi, vipicha na visauti vinavyorekodiwa wakati wa biashara hii havitapokelewa na yeyote vitaishia kwenye visimu vyao. Hapa hakuna cha kuisumbua CCM 2020. Tena umesahau CCM imeshaanza kampeni na hakuna wa kuwazuia. Midhali hiki ni chama tawala hisia zako ni za kufikirika zaidi.
Nadhan nimejariwa kuongea ukwel na kusimama kwenye kwel daima mana nimeiona nikiandika lile linahusu chama changu wanakuja MASHABIKI wa chama na kunishambulia kwa nguvu nyingi katika thread tofautitofauti ,Mfano thread iliyohusu kumjibu lissu kipind anatuchafua ughaibun kuwa apuuzwe,thread kuhusu suala la korosho kuwa tulichemsha na ikaja thread ya wasaidizi wa mh. rais kutuchosha watetezi wao mitandaoni mana kila siku wanaharibu.
Pia hata hiki nimekileta hapa watakuja tena MASHABIKI kunidhiaki bila kujua mimi ni mwana CCM penye kwel nitaongea kwel daima kwenye uongo nitakaa pembeni daima. Mana imetokea tabia nyie wasaka vyeo kuwa na haraka kuliko hata wenye imani na kijani katika damu ko lolote chama kikishauriwa nyie kazi yenu ni kumtolea kashfa anaetoa ushauri ambao hamtaupenda.
Turudi katika topic, Nadhan jana ilikuwa siku ya Wanawake duniani lakin katika pitapita zangu mitandaoni kuna khari ambayo niliona kule Geita jinsi Wanawake wa Bavicha walivyosherekea siku yao nikaona kwa hari hii kuna ugumu mbeleni mana pamoja na kuwekewa ngumu yote lakin walituonesha namna ambavyo wapo hai na kukataza mikutano yao kote bado nguvu wanayo.
Mana kiukwel wanawake wetu wa CCM walizidiwa pale katika kuufurahia siku yao nikaona kuna haja ya hii sera kuachana nayo ili wote tuwe huru ili tuwapime nguvu bila hivo hii sera itakuja ku backfire upand wetu mana tutabweteka kuwa tuna nguvu lakin hatujui waliyonayo watanzania mioyoni mwao inakuwa kama tunawalazimisha kutupenda wakat matendo ndo yafanye watupende.
Mimi ni muumini wa uwanja huru ili tucheze wote tushindane wote ili ijulikane nan mshindi katika hii michezo lakin upand mmoja ukiwa unacheza mwingine unaambiwa hamna kugusa mpira ingawa upo uwanjani hata mashabiki wa upand unaocheza wataona huu si mchezo bali wamepoteza viingilio vyao.NB; CCM ina wenye chama na wanachama zingatia hilo kabla ya kuja kunitukana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,496
2,000
Umesahau wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya wilaya ni makada wa CCM, Umesahau chama tishio kwa CCM msajili anaweza kifutilia mbali, umesahau mabox ya kura yanaweza chukuliwa mbele ya polisi yakapelekwa kusikojulikana na baadae CCM ikatangazwa mshindi, umesahau fomu ya mgombea wa CCM inaweza pokelewa halafu mkurugenzi akajificha na akaibuka baada ya saa kupita na kutangaza wa CCM imepita bila kupingwa, umesahau wagombea wa upinzani wanaweza kamatwa kwa uchohezi au jinai na wakanyimwa dhamana mpaka uchaguzi upite. Mpinzani atakaye heshimika sana atanunuliwa na hakuna wa kufanya uchunguzi, vipicha na visauti vinavyorekodiwa wakati wa biashara hii havitapokelewa na yeyote vitaishia kwenye visimu vyao. Hapa hakuna cha kuisumbua CCM 2020. Tena umesahau CCM imeshaanza kampeni na hakuna wa kuwazuia. Midhali hiki ni chama tawala hisia zako ni za kufikirika zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama wewe unaweza ukakaa na kunikumbusha hayo yote mana nayafahamu vizur ila langu nakumbusha kuwa na uwanja huru ili upime nguvu ya mwenzio lakin hili la kufuta mikutano ni kuficha sura kwenye mchanga wakati mwili wote upo nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
7,139
2,000
Na mimi sina chama ila sipendi dhuluma kitu ambacho ndio nguzo kuu ya chama chako, kila siku kubebwabebwa tu na tume mara polisi na siku hii ikikosekana, ndio mwisho wa uhai wa chama chenu hicho.

Hili tuliliona kwa vyama kama Kanu kule Kenya, Unip kule Zambia, MCP kule Malawi, UPC kule Uganda na kwingineko. Vyama vilivyokuwa vya kibabe kama ccm, pale vilipoondolewa madarakani tu, ndio kiama chao kilipowadia.

Kama tukipata tume huru tu, ni wazi asilimia mia moja kuwa Magufuli huyu tunayemuona hawezi kabisa kumshinda Tundu Lissu ktk uchaguzi huru na wa haki. He can't and I say with much confidence that Magufuli can never defeat Lissu in a free and fair election. Ushindi wa Magufuli ni labda abebwe na hii tume yao. That's all.
 
utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,496
2,000
Na mimi sina chama ila sipendi dhuluma kitu ambacho ndio nguzo kuu ya chama chako, kila siku kubebwabebwa tu na tume mara polisi na siku hii ikikosekana, ndio mwisho wa uhai wa chama chenu hicho.

Hili tuliliona kwa vyama kama Kanu kule Kenya, Unip kule Zambia, MCP kule Malawi, UPC kule Uganda na kwingineko. Vyama vilivyokuwa vya kibabe kama ccm, pale vilipoondolewa madarakani tu, ndio kiama chao kilipowadia.

Kama tukipata tume huru tu, ni wazi asilimia mia moja kuwa Magufuli huyu tunayemuona hawezi kabisa kumshinda Tundu Lissu ktk uchaguzuchaguzi huru na wa haki. He can't and I say with much confidence that Magufuli can never defeat Lissu in a free and fair election. Ushindi wa Magufuli ni labda abebwe na hii tume yao. That's all.
Mkuu fuatilia historia vizur ya hivyo vyama havikuwa na mizizi ya kutosha kama Ccm nakupa mfano muangalie tu mjumbe wa mtaani kwako chama gan ndo utaijua nguvu ya CCM so kuondoka sio leo wala kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,496
2,000
WAPINZANI WA NCHI HII NI WEPESI SANA SIJUI TUNAWAOGOPEA NIN WAKAT CHAMA KINA KILA MTU WA KUCHEZA VIZURI KATIKA NAFASI YAKE KO HAWAWEZ KUSHINDA KATIKA MECHI YA AINA YOYOTE ILE ILE MCHANGANI,CHAMANZI AU KWENYE NYASI NDANDATULA(kinyakyusa )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamili

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,086
2,000
Na mimi nilikuwa najua unafahamu ila nilitaka tu kusisitiza nyenzo zinazotumika na CCM. Chama changu hiki kimeacha kuwaamini wapiga kura wake sasa kinaamini polisi, tume ya uchaguzi na maguvu mengine. Chama changu kinapambana na wapinzani kana kwamba matatizo ya nchi hii ni upinzani. Kwa mfano uchaguzi uliopita watanzania kwa pamoja waliamua kuchagua rais kutoka CCM, wabunge wengi kutoka CCM, halafu wakachagua na wabunge wa upinzani wachache ili waitie changamoto serikali isilale.
Nasisitiza watanzania walichagua wapinzani wachache wakiamini kuongozwa na chama kimoja tu kuna matatizo mabaya.
Cha ajabu chama chenye wabunge wengi kikaanza biashara ya kuhakikisha kila mtu anakuwa CCM! Sio kila mwanafunzi apate mkopo bali kila mtu awe CCM, Sio kuongeza ajira bali kuongeza wanachama wa CCM, , sio kukuza biashara bali kukuza wigo wa CCM, sio kutafuta soko la mazao yetu bali kutafuta wapinzani. KIMSINGI CHAMA CHANGU KIMEFANIKIWA KUUA UPINZANI LAKINI HAYA SIO TULIYOTAKA.
Sidhan kama wewe unaweza ukakaa na kunikumbusha hayo yote mana nayafahamu vizur ila langu nakumbusha kuwa na uwanja huru ili upime nguvu ya mwenzio lakin hili la kufuta mikutano ni kuficha sura kwenye mchanga wakati mwili wote upo nje

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tzkwanza

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
1,389
2,000
Nadhan nimejariwa kuongea ukwel na kusimama kwenye kwel daima mana nimeiona nikiandika lile linahusu chama changu wanakuja MASHABIKI wa chama na kunishambulia kwa nguvu nyingi katika thread tofautitofauti ,Mfano thread iliyohusu kumjibu lissu kipind anatuchafua ughaibun kuwa apuuzwe,thread kuhusu suala la korosho kuwa tulichemsha na ikaja thread ya wasaidizi wa mh. rais kutuchosha watetezi wao mitandaoni mana kila siku wanaharibu.
Pia hata hiki nimekileta hapa watakuja tena MASHABIKI kunidhiaki bila kujua mimi ni mwana CCM penye kwel nitaongea kwel daima kwenye uongo nitakaa pembeni daima. Mana imetokea tabia nyie wasaka vyeo kuwa na haraka kuliko hata wenye imani na kijani katika damu ko lolote chama kikishauriwa nyie kazi yenu ni kumtolea kashfa anaetoa ushauri ambao hamtaupenda.
Turudi katika topic, Nadhan jana ilikuwa siku ya Wanawake duniani lakin katika pitapita zangu mitandaoni kuna khari ambayo niliona kule Geita jinsi Wanawake wa Bavicha walivyosherekea siku yao nikaona kwa hari hii kuna ugumu mbeleni mana pamoja na kuwekewa ngumu yote lakin walituonesha namna ambavyo wapo hai na kukataza mikutano yao kote bado nguvu wanayo.
Mana kiukwel wanawake wetu wa CCM walizidiwa pale katika kuufurahia siku yao nikaona kuna haja ya hii sera kuachana nayo ili wote tuwe huru ili tuwapime nguvu bila hivo hii sera itakuja ku backfire upand wetu mana tutabweteka kuwa tuna nguvu lakin hatujui waliyonayo watanzania mioyoni mwao inakuwa kama tunawalazimisha kutupenda wakat matendo ndo yafanye watupende.
Mimi ni muumini wa uwanja huru ili tucheze wote tushindane wote ili ijulikane nan mshindi katika hii michezo lakin upand mmoja ukiwa unacheza mwingine unaambiwa hamna kugusa mpira ingawa upo uwanjani hata mashabiki wa upand unaocheza wataona huu si mchezo bali wamepoteza viingilio vyao.NB; CCM ina wenye chama na wanachama zingatia hilo kabla ya kuja kunitukana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom