CCM tubadilishe baadhi ya misemo na matamko yetu

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,607
Kuna baadhi ya maneno au kauli yalitungwa kipindi hicho hayapaswi kutumiwa sasa hivi, mfano kuna hili suala la kusema kua 'CCM ni chama cha maskini na wanyonge' ukiangalia kwa undani hii kauli inaonesha kuwa CCM itaendelea kuwepo sababu ya watanzania hawa wanyonge na hivyo hii ni kumanisha kuwa hawa hawezi kuwa matajiri au kutoka kwenye unyonge ili waendelee kuwa na chama hiki.

Mimi binafsi kama mwanachama ningependa kuona tunarekebisha kauli hizi ili tuendane na wakati maana kutokana na viwanda kuna siku asilmia kubwa tutakua matajiri, je ndio kusema kuwa CCM itakuwa si chama chao?

Nawasilisha.
 
Siyo kubadilisha misemo na matamko tu ila pia kubadilisha:-
1.Rangi ya kijani kuwa nyekundu
2.Nyundo na jembe kwenye bendera kuondoa na kuweka mkuki, bunduki na jeneza.
3.ccm iwe cck - chama cha kifo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom