Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Kuna baadhi ya maneno au kauli yalitungwa kipindi hicho hayapaswi kutumiwa sasa hivi, mfano kuna hili suala la kusema kua 'CCM ni chama cha maskini na wanyonge' ukiangalia kwa undani hii kauli inaonesha kuwa CCM itaendelea kuwepo sababu ya watanzania hawa wanyonge na hivyo hii ni kumanisha kuwa hawa hawezi kuwa matajiri au kutoka kwenye unyonge ili waendelee kuwa na chama hiki.
Mimi binafsi kama mwanachama ningependa kuona tunarekebisha kauli hizi ili tuendane na wakati maana kutokana na viwanda kuna siku asilmia kubwa tutakua matajiri, je ndio kusema kuwa CCM itakuwa si chama chao?
Nawasilisha.