Jamani this too muchInformer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
sio kwa milioni 16 aisee kwa vitu vya dola 4,600, huo ni wizi sasa,Mlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.
mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.sio kwa milioni 16 aisee kwa vitu vya dola 4,600, huo ni wizi sasa,
Ndo zao mkuu ila wakikuamulia ndo havipingikiInformer soure! Hata huku mtaa ni mwendo wa kupigwa tu. Juzi walimtuma kijana wao dukan akanunua bidhaa na kutoka nduki hata bila kudai receipt, nilimsoma na kutoa receipt hapo hapo ile anarudi na wenzie wanajidai wamemkamata nikawambia nimtolea receipt lkn alikimbia na kuacha.
dola 4600 ni kama milioni 10, halafu ushuru ulipe milioni 16, hapana aisee hata kama nilizoea vya kunyonya, mnayofanya nyie ni kukatisha roho kabisa,mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
Nilikuwa naamini kwamba somehow somewhere serikali inahujumiwa.Hii imehakikisha mawazo yangu.Ni tatizo la "old wine in a new bottle!" Nimekuwa natafakari kwa kina sana serikali ifanye nini,ifukuze wafanyakazi wote wa zamani ianze upya?Haiwezekani, kwa kuwa it's a very expensive exercise. Screening nayo kujua nani yuko pro-government ni ngumu.Dah,ni mziki mzito.Mungu atusaidie.Kazi ni ngumu sana.Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.
Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.
Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.
Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
ACHA kuharisha jf mtu WANGU, hujui kaa kimya, hujawahi hata kuuza wembe halafu unaharisha.mlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.
mkuuu tulipe kwa kwa hakii na kwa mujibu wa sheriaMlizoea mteremko lipeni kodi kwa maendeleo ya Taifa.
Nilikuwa naamini kwamba somehow somewhere serikali inahujumiwa.Hii imehakikisha mawazo yangu.Ni tatizo la "old wine in a new bottle!" Nimekuwa natafakari kwa kina sana serikali ifanye nini,ifukuze wafanyakazi wote wa zamani ianze upya?Haiwezekani kwa kuwa it's a very expensive exercise. Screening nayo kujua nani yuko pro-government ni ngumu.Dah,ni mziki mzito.Mungu atusaidie.Kazi ni ngumu sana.
Wakati mwingine watu huituhum tu Tra kwa malengo yao binafsi..... Weka nyaraka za huyo mtu hapa wahusika waseme ni kweli au sio kweli..... maneno ya kuambiwa sio ya kutuletea hapa maana unaweza kuchonganisha taasis na serikali... ....uliona document zake?Hali ya TRA bandarini na Airport ni mbaya sana. Wanaoleta mizigo toka nje wanalia sana. Mimi nafanya kazi humu ndani lakini naona bora nijiuzulu jinsi watu wanavyodhulumiwa. Dhamira inanisuta.
Hakuna mfumo wa ushuru, uliopo haufwatei. watu wanalazimishwa kufanya uhuni kuwalazimishia wafanyabiashara ushuru mkubwa ambao haupo, na hii ndio inayochangia mapato kushuka, maana baada ya kubambikiza mtu atapata hasara na kuhacha kuagiza bidhaa.
Kuna mdada aliagiza bidhaa ambazo zilikuwa za thamani ya $4,600, alibambikiziwa ushuru 16million. Dada kashindwa kulipa na kuondoka, dada wa watu kalia kaa mtoto mdogo, mtaji wote kapoteza, hajui pa kuanzia. Dada ni single mother, kazi alipunguzwa na Magu kaingia biashara nayo mtaji wote kapoteza.
Nadhani ni muda muhafaka wa Bunge na chama tawala CCM kuingilia utendaji wa TRA Jamani TRA siyo pa kuleta mizigo tena. Waonye wafanya biashara, hali ni tete, hawa ni sawa Police traffic sasa hivi kwa dhuluma. CCM wasipoingilia, basi wataona mwisho wao, maana hapa ndani ya TRA kuna madudu.wanaichonganisha CCM na wananchi
Dogo bila shaka unakula kwa shemeji wewemlizoea vya kunyonga eeh zama zimebadilika.