Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,925
Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba kuongeza mbunge wa pili katika bunge la Tanzania baada ya kuanza kukubalika kwa kasi na wakazi wa jimbo la arumeru.
Chadema ambayo kwasasa viongozi wake wakuu wanakabiliwa na tuhuma nzito ya ufisadi imekosa sera na mwelekeo na kubaki kunadi kauli mbiu yake ya peoples power ambayo imewachosha wakazi wa arumeru.
Lazima utakuwa wale watu wa mwanzoni kutinga Samunge au umechukua mikoba ya Sheikh Yahaya kwa akili hii si bure una tatizo kubwa limekusibu .