CCM,TBC,TANESCO, EWURA Mnaishi maisha ya nchi gani?

bundas

Member
Aug 1, 2011
79
9
Wapendwa salam,
Shirika la utangazaji la Taifa TBC limekuwa likirusha vipindi maalumu kadhaa featuring makampuni na authorities kama TANESCO na EURA to name the few, katika vipindi hivi ambavyo mara nyingi huendeshwa na waandaaji na waandishi waliobobea wanatoa maelezo yaleyale ya miaka nenda rudi na ya kero zilizoota kutu, mfano,TANESCO:(Shirika lakom la umeme Tanganyika linalo angaza nchi, mwanga wa kutosha na tutawafikia wananchi kwa asilimia kubwa very soon!) no jeopardy here wala hakuna vichekesho, mnajidhalilisha ninyi na taaluma zenu wote TBC na TANESCo kwa kuongea na jamii ambayo expectedly haiwaelewi mnazungumzia jambo lipi haswa wakati umeme ni tatizo kubwa la taifa, na hata kwa mipango ya miaka mingi hamuwezi kuifikia nusu ya wananchi zingatia mnajidai TZSHS bil 100+, acheni uzembe wa fikra wasomi wakutosha , kama wewe TBC umeme unawakatikia ninyim pia halafu mna fanya editorials kubroadcast such gibberish shame on you!

Kuja pia na hawa blabla EWURA; ati wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa ku-control bei za mafuta ati kwa kutangaza kupanda wiki mbili za kwanza na kushuka kdg the other two weeks, mnauma na kupuliza huku mnaendelea kupata magawiwo yenu kutoka kwa wauza mafuta, ndo maana mnachelewesha mradi wa ununuzi wa ujumla Shame on you! matapishi ninyi!

Ati nao wa maji sijui DAWASCO wana smbaa kwa kasi humu mjini wakati siye tulisha wasahau na hilo tatizo ni la kawaida tu sasa, hamna hata akili ya kuchimba visima mnategemea maji ya Ruvu wakati yanaendelea kukatika, why centralize pumping for such a spread up area! what are thinking?

Ingalau NHC wanasema kabisa kwamba bado wanadai watu wengi, na bado wanahitaji kuendeleza makazi, i urge them thou, jengeni wenyewe msiwaachie watu wasiojua standards wenye njaa wanao jenga maghorofa makubwa halafu parking na emergency exits wanaziba, life could have been much better if plans were implemented. By the way Hongera Mchechu, Keep it up, keep it coming.
 
Tatizo la wabongo, tunabaki kulalamika tu daima.
Viongozi wanalalamika, wananchi wanalalamika.Kweli tutafika ktk maendeleo ya kuridhisha - maisha bora kwa kila mtanzania?
Mkuu elezea kwa kina mikakati na mipango yako, kwamba tufanyeje ili dhana nzima ya uwajibikaji wa viongozi wetu ilete tija kwa taifa letu. Kulalamika hakutasaidia chochote, ebu tupatie plan zako mkuu.
 
Back
Top Bottom