Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Nimeongea kule kwenye tamko kuwa kuna mwanaume nyuma ya hawa vijana, na wanatumika!...Tamko lao lingekuwa na nguvu kama wasingechanganya na matusi ya aibu kwa Dr.
Wanaanzisha moto hawa, ambao naamini hawataweza kuzima!
Tatizo la nchi hii ni uwakilishi haramu.........ukiangalia viongozi karibu wote ndani ya UVCCM siyo vijana ni watu wa zaidi ya 40 years of age................swali la kujiuliza hivi humo ndani ya UVCCM wanamwakilisha nani?Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.
Walichofanya UVCCM ni muendelezo wa mafisadi katika kuhakikisha wanafanikisha malengo yao
Si tunakumbuka kwamba youth wing ya ANC ilitumiwa kumtoa Mbeki madarakani kabla ya muhula wake kwisha? Hebu tuvute subira tutajua tu who is behind the scene
Si tunakumbuka kwamba youth wing ya ANC ilitumiwa kumtoa Mbeki madarakani kabla ya muhula wake kwisha? Hebu tuvute subira tutajua tu who is behind the scene
I'm very serious; kuna msemo wa kiingereza kuwa "all is fair in love and war".. na UVCCM wamethibitisha hilo. Tatizo ni kuwa kikaango kitakapogeuzwa kwa upande mwingine patakuwa pachungu kweli.