CCM tafakarini huu ujumbe wa Lema

Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Umeandika upuuzi gani huu. Utakuwa na tabia za Kibashite sio bure.
 
Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
very low for you.....tunapigania nini sasa? ama kweli miafrika ndo tulivo.......
 
Nikikumbuka yaliyowapata Zitto Kabwe na baadae Dr Slaa kubwaga manyanga, Mheshiwa wangu Lema, hiyo quote toka kwa MN inawahusu ZAIDI WanaChadema
 
Worthy to be determined by both sides.
 
Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
ubarikiwe mno,,,,nyie ndio ma great thinker
 
Woah kemosabe...
Msitulete huo ushamba wenu kutoka huko kolomije na chatle.

Mmekuwa watu wa visasi na chuki. Kwa mtindo huu mtaishia kujisifia kufanikiwa kujenga viwanda vingi vya kufyatua matofali,kukoboa na kusaga mahindi, na viwanda vya ubashite l.
 
Nyie ndio hata hamjui uongozi wala maana ya kuwa upinzani.

Mjibadilishe na pia muache udak na kitafuta kiki, kama vile zitawapeleka Ikulu.

Hivi wananchi wako umewafanyia nini na pesa mlizopewa za majimbo?
 
Ujumbe una jina kabisa la mwenye ujumbe halafu unasema ni wa Lema.
 
Nyie ndio hata hamjui uongozi wala maana ya kuwa upinzani.

Mjibadilishe na pia muache udak na kitafuta kiki, kama vile zitawapeleka Ikulu.

Hivi wananchi wako umewafanyia nini na pesa mlizopewa za majimbo?
Usiwapangie wapinzani namna ya kuongoza kwa sababu ata hizo kura walizopata walipambana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…