CCM tafakarini huu ujumbe wa Lema

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
Dah!! Jombaa umekuwa mpiga ramli siku hizi!! 😀😀😀😀😀
 
Dah!! Jombaa umekuwa mpiga ramli siku hizi!! 😀😀😀😀😀

It's common sense.

Hivi kabisa unawaamini CHADEMA chini ya mazingira haya ya katiba itumikayo sasa?

Tulikosea sana tulipoamua kuingia mfumo wa siasa za vyama vingi bila kuandika katiba mpya.

Afrika Kusini waliandika katiba mpya walipoamua kuutupilia mbali mfumo wa kibaguzi wa Apartheid.

Imagine ANC kama wangekuwa wanatawala kwa kutumia katiba ile ile iliyotumiwa na makaburu....

I'm just sayin'....
 
Siyo CCM na Chadema tu hata wewe unatakiwa kuyatafakari hasa kwa ulivyo bendera fuata upepo
Kwanza walikuja kwa Wayahudi, lakini sikufanya chochote kwa kua mimi si Myahudi.
Tena wakaja kwa Wajamaa, lakini sikufanya chochote kwa kua mimi si Mjamaa.
Tena wakaja kwa Wakatoliki, lakini sikufanya chochote kwa kua mimi si Mkatoliki.
Mwishowe wakaja kwangu, lakini wakati huo hakukua na hata mtu mmoja aliyesalia wa kunisaidia.

Hiyo ndio tafsiri ingawa mimi sio good translator.
 

Nyani, tunaongea mambo present tense siyo mambo ya future ya kufikirika pkease.

Mla ni mla leo..
Chadema hawako madarakani remember.
 

It aint common sense...kwani unaongelea kwa hisia na siyo uhalisia...unaongelea hali ambayo bado haijatokea. Ndiyo maana nimekwambia umekuwa mpiga ramli.

Wewe unasema huwaamini CHADEMA kwa mazingira haya ya katiba ya sasa. Mwingine anaweza kusema anawaamini kutokana na maneno yao ya kutaka katiba bora. Ila yote haya ni upiga ramli.

Sema nakubaliana nawe juu ya katiba mpya. Lakini jombaa, CCM hii ya huyu sadist dikteta uchwara, hakuna katiba mpya ya wananchi...si umeona amebadili katiba ya CCM? Anataka kuwa yeye tu ndiye mgombea!!! Huyu bwana siyo mzima. I said from the first time I heard him speaking as the President, kwamba he is a loco!
 
Nyani, tunaongea mambo present tense siyo mambo ya future ya kufikirika pkease.

Mla ni mla leo..
Chadema hawako madarakani remember.
Ninamjibu post ya Nyani Ngabu hapo juu.
 
Fafanua ujumbe una maana gani. Hatuhitaji tafsiri. Tafadhali fafanua Fumbo hili.
 

Well..it's your opinion and you are entitled to it.
 
Hata CHADEMA mwapaswa kuyatafakari hayo maneno kwani na nyie wala hamna tofauti kubwa na CCM.

Huenda hata mkawa mko hovyo zaidi ya CCM nyie.

Ni vile tu bado hamjapata mamlaka kamili ya kutuonyesha makucha yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…