Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,825
- 18,084
Wanachama wa CCM Tabora Mjini wamefunga ofisi kumzuia Katibu wao wa Tabora Mjini asiingie. Hii inadaiwa kwa sababu ya kuwagawa wanachama na hivyo kuhatarisha uhai wa chama hicho kikongwe!
Wanachama wa chama hicho wameapa kutofungua ofisi hiyo hadi katibu huyo atakapohamishwa au kufukuzwa nafasi yake ya ukatibu!
Source: ITV habari za saa
Wanachama wa chama hicho wameapa kutofungua ofisi hiyo hadi katibu huyo atakapohamishwa au kufukuzwa nafasi yake ya ukatibu!
Source: ITV habari za saa