CCM Tabora kimenuka!

CCM Tabora kimenuka!

Kumbe ndio maana wanashindwa kutoa ratiba ya kuchukua fomu za kugombea
Mkuu, kwani kampeni bado? Mbona leo asubuhi hii nimesikiliza radio inayomilikiwa na mhe Rage iitwayo VOT ikimfanyia kampeni mhe Mfutakamba mbunge wa Igalula?
 
jembe;
Acha ubaguzi akikusikia rege nakuambia atakutoa roho na lile libastola lake shaurilo. Namfaham yule aliwahigi kuny.ea mtondooo si wamkumbuka. Haogopi jela yule anaogopa Mungu na njaa tuu:A S-rap::A S-rap::msela:
mangatara wasomali hawafai hata bure si unaona kenya wanavyoteseka
 
Last edited by a moderator:
Wanachama wa CCM Tabora Mjini wamefunga ofisi kumzuia Katibu wao wa Tabora Mjini asiingie. Hii inadaiwa kwa sababu ya kuwagawa wanachama na hivyo kuhatarisha uhai wa chama hicho kikongwe!

Wanachama wa chama hicho wameapa kutofungua ofisi hiyo hadi katibu huyo atakapohamishwa au kufukuzwa nafasi yake ya ukatibu!

Source: ITV habari za saa
hawakawii kusema kuna mkono wa CDM wakati ni wao kwa wao wanazikana.
 
Ndugu zangu wasukuma na wanyamwezi tatizo pale ni Rege.Huyu msomali anayejifanya mnyamwezi ndio analeta fitna pale,moteeni msomali huyo,yeye ndiye ameanzisha fagi hilo

Wakimfukuza ile biashara yake ataifanya kwa kutumia kivuli kipi?
 
Pamoja na historia ya kutukuka ya mji wa Tabora, mchango wa wananchi wa Tabora katika kuikomboa Tanzania kutoka kwa mafisadi haupo kabisa! Wamebaki wakitumikishwa katika mashamba ya tumbaku kama manamba!

Duu pole yao,na bado ukombozi hawajawa tayari kuupokea
 
Mimi nasema hivi bora kinuke tu, tena kinuke mpaka kiwanukie kwani tumeshachoka sasa hapa Tabora Mjini na hiki chama...tunamtaka Athuman Said Sudi wa CUF atuongoze wana Tabora Mjini.

Mkuu mjipange siyo maneno ili kuwatoa hao ccm
 
Mkuu sema taratibu unatutonesha kidonda wanyamwezi wenzangu wa tbr sijui nani kawaroga,miaka 54 ya Uhuru Barbara ya lami bado haijafka mkoani kuunganishwa na miji mingine.
Usafiri pekee uliobaki wa uhakika wa reli umehujumiwa hakuna kitu,kikubwa kilichibaki ni kile sanamu la Nyerere,halafu wamelalia masikio na CCM lao.
Na wazee wale waganga wa matambiko na michawi yote ya mjinivinashabikia CCM! Kweli CCM na shetani wa na unasaba

Mkuu jamaa wanachohitaji ni elimu ya uraia wataelewa
 
Kila kihusucho ccm kwasasa ni beleshi la udongo kaburini mwa chama chawala

Ukisema hivyo lumumba team wanakuona kama adui wa taifa,mimi jana kuna jf,member ameni attack vibaya kwa matusi kwa vitisho nilichofanya ni kumdharau
 
Huyu aliekua anakomenti kww jina Samwel Meleka mbona anatumia ac yangu??mm ndio samwel meleka
 
Wanachama wa CCM Tabora Mjini wamefunga ofisi kumzuia Katibu wao wa Tabora Mjini asiingie. Hii inadaiwa kwa sababu ya kuwagawa wanachama na hivyo kuhatarisha uhai wa chama hicho kikongwe!

Wanachama wa chama hicho wameapa kutofungua ofisi hiyo hadi katibu huyo atakapohamishwa au kufukuzwa nafasi yake ya ukatibu!

Source: ITV habari za saa

masalani, mamdenyi, faizafoxy, ritz na watumishi wa lumumba je wanayotaarifa hii???
 
Back
Top Bottom