Maige huna haja ya kujidai kuwa umetoolewa kafara si kweli,umejitoa mwenyewe na kilicho kutoa ni ubishi wako na tamaa za fedha,vitalu ni asalimia95 ya kuondolewa kwako,ubishi wa kutosikiliza ushauri kamati ya ugawaji,pamoja na kmt ya bunge,huku umegawa kitalu kwenye kampuni japo ni ya mtz ,sawa, ila haina safari hata moja,hata booking haina,gari ndo wananua baada ya kuwapa kitalu,unamfukuza na kunyima kampuni iliyo ajiri watanzania zaidi 400 kwa kampuni moja,na kitalu katengeza miundo mbinu yote kwa muda mrefu na kodi zote zina lipwa,kwanini usiwaite na kuwakalisha wauze asilimia ya hisa zao kwa watanzania wenye uwezo,we unakimbilia kugawa kama Mahindi ya msaada,huangalii na soko la utalii limekaa vipi?tulijua kabisa we umekaribia kuua soko la utalii hata rais ameona hilo,
We mwenyewe umeenda kwenye soko la utalii Marekani je?uliona watu wanavyofanya kazi?au ulienda kushangaa magorofa.pole sana kama uliupenda uwaziri ila ni Mhasibu.