Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!
Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
5. WeremaTehe tehe, wasukuma wametia fora kwenye utawala wa JK and Mkapa
1) Vijisenti
2) Bosi wa PCB
3) Bwana Megawati
4) Bwana Twiga.....
sasa huo mkopo ataumalizaje wakati sasa hivi ni unemployed na kisima cha hela hakipo tena?
Hakuna cha mkopo wala nini, ile ilikuwa ni geresha tu watu wana data zake za crdb na hata ikulu inajua hilo, ni vema tumbane kimei atudadavulie hapa kwanini benki yake inakuwa pango la wanyang'anyi.Swali langu sasa ni je Ule mkopo USD400,000 atalipa na income za yale malori mawili?????????????
Mkuu hukumbuki pale Bungeni aliomba Lukuvi aombe suala lake litolewe majibu kikao kijacho cha june kwa kuwa hakupewa nafasi ya kusoma tuhima na kuzijibu. Masikini ameshindwa kufika mwezi wa sita itabidi ampatie Kagasheki hayo majibu. Amekuwa kama Mussa ameshindwa kufika nchi ya asali na maziwa.Baada ya kupigwa chini na JK sasa mh Maige ni kama kachanganyikiwa...kuna baadhi ya watu wake waliokua wakimpa pole ya kuvuliwa ubosi amewambia kwamba ccm siyo mama yake eti aipigie magoti na haoni tatizo kupigwa chini maana kafanywa mbuzi wa kafara!!!!!
Kauli hii inaonyesha alijaribu kumbembeleza mkulu lakini kamchomolea.
5. Werema
6. Gavana Ndulu
7. Prof. Mmahalu
tehe tehe, wasukuma wametia fora kwenye utawala wa jk and mkapa
1) vijisenti
2) bosi wa pcb
3) bwana megawati
4) bwana twiga.....
5. Werema
6. Gavana Ndulu
7. Prof. Mmahalu