CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

Mkuu hiyo inatukumb usha kitabu cha darasa la tatu sizitaki mbichi hizi!!!
 

huyu ndiyo waziri jizi kuliko wote.


ni aibu gani kusafirisha wanyama hai kwenda karachi?
 
Alisema bado anadaiwa kulipa mkopo aliokopa CRDB na anategemea kumaliza deni mwaka 2015,kazi anayo

sasa huo mkopo ataumalizaje wakati sasa hivi ni unemployed na kisima cha hela hakipo tena?
 
Kama kaichoka sisiem tunamkaribisha sidiem 😛eep:
 
OGG inamuwinda hahaahah OPERATION VUA GAMBA VAAA GWANDA
 
Tehe tehe, wasukuma wametia fora kwenye utawala wa JK and Mkapa

1) Vijisenti
2) Bosi wa PCB
3) Bwana Megawati
4) Bwana Twiga.....

na yule wa National Identity ... Masha

teh teh teh
 

But amenyonya ziwa la mama huyo hadi akaweza kujipatia majumba na vitalu!!!! She must be her supper mummy asitudanganye hapa. Maneno ya mkosaji tu hapa!! Akaendelee na biashara zake za malori si alisema anapata dola 10 hadi 20 elfu kwa gari moja kwa mwezi? Ha ha ha atakoma, bora wenzake walikaa SSM na uongozi kwa muda mrefu so walonyonya mrija kiukweli!! Anyway apishe na wengine wale bata!!! Ila nimefurahi vijana wa Rostam wengi nje!!! Masha, Ngeleja, Maige!!!!
 
News: Hatimaye rais kalivunja baraza la mawaziri jioni hii
 
hata kama hajachaguliwa ashavuna vya kutosha, arudi jimboni ajipange kuchukua ubunge tena 2015 aweze kula mema ya nchi
 

Maige, haya ndiyo tunayoita mapovu toka kinywani mwako. Really? Are U serious lakini?
 
Maige naye alinenepa hadi wakamstukia lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…