VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Nikile kile mnachokaaga kila siku,wewe walikuacha kukuita wameshakuchoka karibu nawewe wana kuflush,wameanza kuona Huna sera kazi uliyotumwa inakushinda .....Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
kwani kiongozi wa ccm kinondoni hawezi shiriki vikao vya kufanya uharamia Lumumba?Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
mtahangaika sana kamwe hamtashinda CCM #1 ukabila wenu na udini wenu CDM ndo unawaponza'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'
Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.
Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar