Mjanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,238
- 325
hapa nimecheka sana kuhusu hili suala kukata mauno duh
usishangae ndo jadi yao! jiulize kwanini Mabinti wasomi wa kijaluo ni wachache??
wanawahi kupimwa kina cha OIL haooo! I begooo!
hapa nimecheka sana kuhusu hili suala kukata mauno duh
Habari za wajaluo zinasema Tatizo ni hawa wafanyabiashara na hata kambi ya iliyokuwa ya Profesa Sarungi, wakisikia tu jina la huyo Maina Owino wote wanaungana na vikao vinakua ni kila siku ili jamaa asichukue UBUNGE sababu inasemekana yeye aliweka wazi ufujaji wa pesa ya umma ''STOP'', ma omera wanasema alidraft mkakati wa utekelezaji wa maendeleo ikaoneka itawazuia ULAJI. Hivyo uchaguzi wa 2000 na 2005 ilimwagwa pesa ya kufa mtu na sila nje nje kwa wapiga kura ili wasimchague Maina owino. Fununu zikawa usalama matatani akakimbilia London.....nasikia anajipanga upya sasa 2015 kupitia njia yoyote. na wajaluo wanamkubali. Moto tutauona.
jamani wananchi wa RORYA sio wajaluo tu kuna wasimbiti pia sasa nikijaribu kuangalia wanaojipanga kuchukua madaraka ni wajaluo tu hivi na makabila mengine je?shame on you jaluos nyambafu tu!
usishangae ndo jadi yao! jiulize kwanini Mabinti wasomi wa kijaluo ni wachache??
wanawahi kupimwa kina cha OIL haooo! I begooo!
wewe dadaz wa kabila lako wasomi wako wapi wakomboe nchi? usikimbilie tu kuchangia, elimu kwa wanawake zamani ilikuwa tatizo kwa makabila yote na Afrika kwa ujumla, sio wasichana wa kijaluo tu, ni kweli tunahitaji nafasi familia zetu ni masikini wa kutupa, hivyo changia na uwawezeshe dadaz wa kijaluo waende shule.
nyie wasimbiti si mjitokeze tuwape kura? mmezidi mno kujificha shit!
Mjanga uwe makini na siasa za uongo.
Mie hapa Dar nimeshafanya tafati mbali mbali juu ya VIJANA ktk SIASA na WaTZ wa Diaspora na Siasa za Vyama. Nimefuatilia sana habari za Maina Owino kwa wajaluo wengi lakini hata Lameki Oiro mwenyewe anamkubali na kumhofia sana huyu bwana.
Suala la Ubunge wa Rorya liko hivi kama wadau wanaRORYA wanavyolihakiki:
Mwaka 2005 Maina Owino alianza Kampeni yake mapema ya Ubunge wa Rorya Mwezi Februari. Maino alikua na ofisi yake ya Kampeni kwenye kijigorofa huko shirati. Mpaka Mei 2005 ilikua kimeshaeleweka na wanaRorya walijua wana mbunge Maina Owina. Prof Saronge alinawa mikono na akasusia kuanza Kampeni sababu kila alikopita watu, hasa vijana na wanawake walimpokea na mabango ya Maino Owino.
Mwezi Mei mwishoni Owino alipigiwa simu toka London kuwa mkewe alikua hajiwezi kwa ujauzito ulikaa tenge na hivyo alisafiri siku hiyo hiyo usiku kupitia Kenya (Kulingana na taarifa za meneja wake wa Kampeni). Baada ya wiki mbili Owino alikwamia Airpoti London ambako ndege zote zilisitishwa kusafiri sababu ya barafu na ukungu kwa zaidi ya wiki mbili na nusu tena. Kila mtu atakumbuka hili. Hapa ndipo SIASA za machafuko ikaanza.
Mdau kijana mmoja mjaluo aliyekua mwandishi wa magezeti ya IPP na sasa ni mwalimu sekondari moja Shirati na mpwa wa Pfro Sarungi na kada wa CDM anamwaga za wazi kuwa Lameki Oiro na Ochelke walimfuata Sarungi DAr kwamba arudi Rorya kugombea maana Owino amekwama London. Wananchi wanamuulizia na wao wameanza kumwaga Sumu kuwa Owino harudi tena kugombea. Hivyo ikawatia wasiwasi. SArongi aliwapa condition kuwa wao wabebe mzigo wote wa kampeni na wakakubali ili mradi akubali kudanganya juu ya Owino.
Prfo SArungi alirudi Rorya na kuanza kusema kuwa Owino amemfuata na amemwomba yeye Prof SArungi amsaidie fedha ili arudi akanye PHD yake. Hivyo hataki kugombea na anamwachia kwa heshima ya baba yake. Sarungi alinukuliwa akisema amempa owino milioni 100 za masomo, huku Airo na Ochele wao walikataa kusema wazi wazi kama kweli wamempa Owino pesa yeypte. Owino alipopigiwa simu alisema fedha zake za kampeni zilizotumika zinazidi gharana ya Phd na hajawahi kuonana zaidi ya miaka 5 na Sarungi na kunong'oneza neno PESA na Hiyo KAmbi. Na alisema atawauliza mbele ya halaiki hiyo hiyo. Mwanahabari alisisitiza kuwa Owino alitafuta na kupata simu ya Sarungi na kumuuliza kwa nini anamkashifu kwa lugha za HONGO na Prfo Sarungi inadaiwa aliruka katu kuwa anachonganishwa tu na pia alifunga safari hadi kwa mama yake Owino kuongea nae kuhusu jambo hilo.
OWINO ALIFANIKIWA KURUDI RORYA SIKU YA MWISHO YA FOMU NA Sarungi alipomwaona ofisi za CCM alidondoka chini mbele ya umati mkubwa na kukusanywa haraka na walinzi wake na kablaya kutimua mbio Owino alikwenda na Kumsalimia kwa sauti bila kujibiwa. Siku hiyo hiyo Owino alitawanya Kampeni yake jimbo zima na hali ya siasa ilibadilika siku hiyo hiyo watu wakiimba ''Bila OWINO No Mbunge CCM''( Onge OWINO..Onge Mbunge CCM''). Mdau mwingine anamwaga kuwa Lakairo na Ochele waliagiza malori yao ya kubeba samaki yarudishe samaki kenye friji na yalitumika kubeba wajumbe wa CCM usiku kucha na kukusanywa sehemu moja na kupewa sh.50,000 kila mmoja na viongozi wa kata wakitafuna sh.100,000. Hata mie nikiwa Kasulu nakumbuka magazeti yalivyoandika AIBU ya RORYA kwenye uchaguzi wa ccm.
Mdau Kembo aliyekuwa dereva wa Owino (2005) (sasa Quality Group) alisema Owino alikuwa anataka apewe taarifa ya maendeleo ya mke wake kila baada ya nusu saa. Na baada ya Kambi ya SArungi kuingia na silaha kwa wazi, kulazimisha kuwapigia kura wajumbe eti hawajui kuandika na kauli ya katibu wa CCM Mkoa kuwa Mchagueni atakerudi kuwa Waziri napesa ya posho za wajumbe kulipwa na Lakairo kwa niaba ya ccm na wali kwa nyama....UCHAGUZI usingekuwa na matokeo tofauti na yaliyotokea.....Hata Prof Bwathondi, Dr. Nyamsogoro et al wote waliona ARMAGADEN ya SIASA.
Bw. Jeoff aliyeishi na Owino London anasema bahati mbaya Owino kumbe alifiwa na kijana wake huyo baada ya kuzaliwa....
. Ktk Uislam tunaamini hakuna bin adam asiye na mapungufu.La msingi ni kuangalia Credibility ya Mtu na Vision given a fair ground. Mabaga(sijui jina lake la kweli) alisema kama Owino angekuwa amepewa pesa asingeweza kumkuta Prof SArungi, Igogo, Lamek Oiro na Ochele pamoja mbele ya umati mkubwa baada ya shuguli za msibani mmoja Dar na kuwauliza wote kuhusu kampeni ya 2005 na kutaka yeyote kati yao au wakala wao amewahi kuja kumpa hata senti moja ili awaachie Kampeni kama walivyokuwa wanadai......WOTE WALIKAA KIMYA....Kuna mzee Ogola ndio akasimama na kusema Owino amefanya vizuri kuliweka vizuri jambo hilo sababu ameshalishitaki mbele ya wazee kadhaa ili watu hawa waweke wazi. Prof Sarungi alisimama ghafla na kutoa historia kuwa bila baba yake Owino yeye angebaki ulaya na asingerudi mapema Tanzania na kupewa kazi. Ile ilikua siasa na sias ilikwisha. aksaema ....SORRY...watu wakasema yamekwisha na ndio uhusianoi wao ulirudi tena.
HIVYO BWNA MJANGA HIYO ILIKUA NI SIASA HASA.......Unaweza pia wauliza kambi hiyo ya Oiro lakini inasemekana sasa hawaivi tena na Prof Sarungi....fununu....au tafuta contact za maina owino bila shaka bado ni mwenekiti wa ccm london.
Mie siyo mwana CCM na napenda marekebisho yaje haraka ila ndani ya CCM kuna SERA na Vijana wazuri...Tusiwahukumu kwa HEAR SAY......:target:.
Daima nitachunguza na kukuza maarifa kwa faida ya wote.
Karibu SAGCOT....THE RICHEST SOUTHEN CORIDOR OF TANZANIA.
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.
My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.
nyie wasimbiti si mjitokeze tuwape kura? mmezidi mno kujificha shit!
Mkuu, kwa CCM huyo ndo mtu safi, hata hii safu mpya itamsapoti tu huyo unayedhani hafai. Kwetu sisi wana mapinduzi tunasema wamweke huyo huyo au yeyote yule, 2015 hawana lao!Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.
My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.