CCM nyaya zimegusana

Hahahaha Hakika No redorms inefika meza kuu Sasa sijui na wao watapeana kesi za uhaini??
 
CCM wamepanga kuandamana siku ya tukio.
 
Hivi Uchaguzi Mkuu utakapokuwa umefanyika na washindi kutangazwa na kuapishwa, mtaongea nini?
 
Mmeingizwa cha kike. CCM ni michezo yao kuwazuga.Hii yote ni michezo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…