Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,504
- 2,451
Dunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
Hivyo inatakiwa kuwekewa vikwazo vya kimataifa,na kuvuliwa kwenye uongozi wa taifa kwani wataendelea kupata rasilimali za kujiimarisha kwenye ugaidi wa ndani ya mipaka ya taifa lao na nje ya mipaka.Hivyo ni muda kwa jumuia ya kimataifa kuchukua hatua stahiki.Dunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
Kwani Tlaatlaa ni chama chake?Tlaahtlaah, we njoo tu
Umechelewa kufahamDunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
Huyu mjinga anakishabikia na lucasKwani Tlaatlaa ni chama chake?
Pia wanatakiwa wavamiwe kijeshi wasihatarishe usalama wa kikandaHivyo inatakiwa kuwekewa vikwazo vya kimataifa,na kuvuliwa kwenye uongozi wa taifa kwani wataendelea kupata rasilimali za kujiimarisha kwenye ugaidi wa ndani ya mipaka ya taifa lao na nje ya mipaka.Hivyo ni muda kwa jumuia ya kimataifa kuchukua hatua stahiki.
Tanzania haina taswira njema,zaidi inanuka damuENDELEA KUWA MZALENDO NA USIACHE KUILINDA TASWIRA NZURI YA NCHI YAKO🇯🇲
CCM inapaswa ifutwe kwenye uso wa duniaChama cha mashetani
Utawala huu unahatarisha usalama wa kikandaCHAMA CHA MAGAIDI KINAPORA UCHAGUZI NA KUCHNJA NA KUTEKA RAIA WAKE.(JANJAWEED)