CCM ni 'nambari one' katika nini?

Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''.

Yaani CCM NI NAMBA MOJA.
Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii.

Naamini hapa jamvini huenda mwaweza kunijulisha kuwa ,
CCM NI NAMBARI ONE katika nini hasa?

Au ni msemo tu wana JF?


Ulikuwa hujui ni mambari one kwa UFISADI
 
Back
Top Bottom