PostGE2025 CCM ni mpango wa Mungu

PostGE2025 CCM ni mpango wa Mungu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,295
Reaction score
39,978
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.

CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.

CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.

Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.
 
Hakuna….Ushindweee
 
Sasa si wakafungue Kanisa au waanzishe Dini yao - Cult na wafuasi wao ?

As mlipa Kodi hiki Chama na serikali zilizoundwa na hiki kama sioni value for money zaidi ya kukopa na kuwatia umasikini taifa la kesho...

Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.

CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.

CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.

Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.
Mama samia unazingua ujue!
 
Mpango wa Mungu kuteka na kuua raia?
 
Mkuu kavale ketu nembo ya taifa ni mzima?
Screenshot_20251129_150332_Instagram.jpg
 
CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa..
Hao hao majizi na wauaji?
Wana sera gani nyingine ukiacha hizo za kuteka, kufira, kuua wananchi, wizi wa kura na ufisadi mkubwa wa kutisha?
 
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.

CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.

CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.

Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.
Mkuu nyuz km hizi hebu jrb kudoma alama za nyakati. Utakuja ule matusi uchukie forum nzima.
 
Hata utawala wa Farao ulikuwa mpango wa Mungu na tena aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu zaidi pale wakati wa mabadiliko ulipokuwa unakaribia😃
 
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.

CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.

CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.

Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.

Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.

CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.

CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.

Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.
Nyakati za uchawa zimekwisha mzee.
Kubali.
CCM imekataliwa Duniani na mbinguni!
 
Back
Top Bottom