Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
Mmh
Mwanzoni nilidhani yuko serious anajiheshimu ila nimeshagundua ni walewale tu.Hahahahahaaaaa yani wanake wenzake wanammaindi
Una wazimu? CCM is just a cult, lazima uwe popoma, taahira wa akili kuwa CCM.....Na ni kikundi kidogo cha watu ndio kinawaburuza wanachama wote. Angalia tu Samia alivyopitishwa! Kinyume cha Katiba yenu, Kinyume hata cha Katiba ya Nchi, inasikitisha sana.Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM, serikali kwa miaka yote imekuwa na sera nzuri za uchumi hali inayofanya maisha ya watanzania kuwa na unafuu mkubwa kulinganisha na nchi nyingi za Afrika.
CCM imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi inakuwa salama na yenye amani kwa kuhakikisha utawala wa kisheria usiovunja haki ya mtu yeyote. CCM hulinda haki za binadamu kwa wivu mkubwa. Ndo chama barani Afrika kimeshiriki ukombozi wa nchi nyingi dhidi ya wakoloni. South Africa ni mashahidi.
CCM pia imekuwa very flexible kwenda sawa na mabadiliko mbalimbali duniani. Dunia ilipotaka kuwe na vyama vingi CCM haikutumia ubabe kuzuia mabadiliko. Hivi vyama vya upinzani viko huru kufanya shughuli zao baada ya CCM kuheshimu matakwa ya wengi.
Demokrasia ndani ya CCM ni kubwa kuliko inavyodhaniwa. CCM huheshimu sana katiba yake ndo maana CCM haina mwenyekiti wa milele.