mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
Osha uso. Tanzania kuna chama kimoja tu cha siasa. Na kikundi kimoja cha kihuni kinachoongozwa na mmiliki wa night clubHebu ru
Bila vyombo vya dola hiki kitu hakipo mitaani, na watu wanajuta kulazimishwa kutawaliwa e.g. Zanzibar utasema mnawatawala wale watu kwa mapenzi yao kweli ?! Huku bara ndiyo mmeshawazuia wapinzani wenu kufanya siasa za kistaarabu yote hiyo hofu ya kupora madaraka yao kupitia mfumo mbaya wa uchaguzi
Na katika nyakat upinzani unakwenda kufa bass ni uchaguzi wa 2020
Unatawaliwa Wewe hujielew tu wslifanya hvyo Ili kuziba usijuwe kuwa Unatawaliwa, uliwah kumpa Msaada UK? Ila we unapewa kila siku..Nimegundua wewe ndio huna ufahamu wa kutosha ktk jambo hili. UK ni muunganisho wa watu wa England, Scotland, Wales na Northern Ireland. Hakuna tena British Empire. Nchi zote zilizokuwa chini ya British rule zilikubaliana kuwa na umoja (kutokana na mifumo ya uongozi) na ndipo Commonwealth ilipokuja.
Wewe kama huiamini WaTz zaidi ya nusu waliisuport mpaka mkalazimika kupika matokeo !!Kwa akili yako nyepesi. Hivi kuna mbadala wa CCM? Kuna yeyote timamu anaweza kuamini SACCOS ya Mbowe na Mkwewe Mtei iliyosheheni wahuni wa kichaga na wapiga dili?
Hiki ni kiburi cha uhai tu.CCM is too powerful hapa Tanzania na hakuna Chama cha kuiondoa CCM kwa kura wala kwa hila hivyo naamini kabisa kwa kulijua hilo CCM wameamua kuitengeneza chadema ili ilete sura ya kwamba kuna Chama cha upinzani Tanzania na kwamba siyo Chama kimoja tu!
Hata naamini kabisa kuna baadhi ya Majimbo CCM inayaachia kwa makusudi ili kutengeneza aina fulani ya usawa kwenye Siasa kwa mfano Jimbo la Arumeru Mashariki ninaamini kabisa CCM waliamua liende Upinzani na mifano mingine mingi ipo!
Mrems na NCCR alifikia peak upinzani leo hii ni Muajiriwa wa Serikali ya CCM na analipwa na Serikali, Mbatia aliteuliwa kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa CCM hivyo ina maana Mbatia kafikia hapo alipo kwa juhudi za CCM na siamini kwamba Raisi Kikwete aliamka tu asubuhi na kukurupuka kumpa Mbatia Ubunge baadaye Mbatia akawa vocal sana ukawa anatoa lugha za vitisho kwa Serikali kupitia ukawa na Mama Tanzania yake leo hii Mbatia kimya hata ukawa haipo kwani uchaguzi wa S. Mitaa NCCR walisimamisha wagombea sambamba na chadema na CUF, Kwa nini? Nini kimetokea ukawa? Ile trajectory waliokuwa wanaifwata imeishia wapi? Iweje wakubaliane kwenye Uraisi waje kushindwa kwenye Serikali za Mitaa?
Marando yuko wapi? Huyu alikuwa akiongea Jangwani anaunguruma kama Simba leo hii hata sijui aliko!
Hata Uchaguzi uliopita haya yalioitwa Mafuriko yaliruhusiwa na Serikali kwa makusudi kabisa ili ionekane kwamba CCM power imepungua lkn ukweli ni kwamba kama CCM inaamua kutumia Rasilimali zake zote ingeshinda kwa zaidi ya 80%!
Mtu kama Lowasa na Genge lake, kama Serikali ingeamua wala asingesimama kugombea chadema na hii ni kihalali kabisa na hakuna kitu angefanya, wasingekosa sababu ya kumzuia na hata kumfunga kama kweli angekuwa tishio la uhai wa CCM!
Haya ni maoni yangu, hawa wote akina sijui Zito & Co. ni usanii tu lkn hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania na Mgombea wa CCM ni automatic Raisi wa Tanzania na itabakia hivyo!
CCM is too powerful hapa Tanzania na hakuna Chama cha kuiondoa CCM kwa kura wala kwa hila hivyo naamini kabisa kwa kulijua hilo CCM wameamua kuitengeneza chadema ili ilete sura ya kwamba kuna Chama cha upinzani Tanzania na kwamba siyo Chama kimoja tu!
Hata naamini kabisa kuna baadhi ya Majimbo CCM inayaachia kwa makusudi ili kutengeneza aina fulani ya usawa kwenye Siasa kwa mfano Jimbo la Arumeru Mashariki ninaamini kabisa CCM waliamua liende Upinzani na mifano mingine mingi ipo!
Haya wameachiwa waongoze Jiji la Dar wanafurahia, lkn nani ni Big Boss Dar? Ni Makonda pmj na Wakuu wa Wilaya ambao ni CCM, Makonda ndiyo anafungua barabara mpya, Makonda ndiyo anapokea wageni ktk nje ya nchi Makonda ndiyo anaamua si ajabu hata ruti tu za Dala dala, huo Umeya unawasaidia nini chadema? Lkn Kisiasa ni muhimu kwa CCM kwamba Upinzani wanaongoza Jiji lkn ni kinadharia tu, ukweli ni kwamba Jiji linaongozwa na CCM!
Mrema na NCCR alifikia peak upinzani leo hii ni Muajiriwa wa Serikali ya CCM na analipwa na Serikali, Mbatia aliteuliwa kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa CCM hivyo ina maana Mbatia kafikia hapo alipo kwa juhudi za CCM na siamini kwamba Raisi Kikwete aliamka tu asubuhi na kukurupuka kumpa Mbatia Ubunge baadaye Mbatia akawa vocal sana ukawa anatoa lugha za vitisho kwa Serikali kupitia ukawa na Mama Tanzania yake leo hii Mbatia kimya hata ukawa haipo kwani uchaguzi wa S. Mitaa NCCR walisimamisha wagombea sambamba na chadema na CUF, Kwa nini? Nini kimetokea ukawa? Ile trajectory waliokuwa wanaifwata imeishia wapi? Iweje wakubaliane kwenye Uraisi waje kushindwa kwenye Serikali za Mitaa?
Marando yuko wapi? Huyu alikuwa akiongea Jangwani anaunguruma kama Simba leo hii hata sijui aliko!
Hata Uchaguzi uliopita haya yalioitwa Mafuriko yaliruhusiwa na Serikali kwa makusudi kabisa ili ionekane kwamba CCM power imepungua lkn ukweli ni kwamba kama CCM inaamua kutumia Rasilimali zake zote ingeshinda kwa zaidi ya 80%!
Mtu kama Lowasa na Genge lake, kama Serikali ingeamua wala asingesimama kugombea chadema na hii ni kihalali kabisa na hakuna kitu angefanya, wasingekosa sababu ya kumzuia ukifungua faili la Lowasa tu ukurasa wa kwanza unatosha kumpeleka Mahakamani na kumuweka busy na kesi kwa miaka hata 3 na hata kumfunga kama kweli angekuwa tishio la uhai wa CCM!
Haya ni maoni yangu, hawa wote akina sijui Zito & Co. ni usanii tu lkn hawawezi kushinda uchaguzi Tanzania na Mgombea wa CCM ni automatic Raisi wa Tanzania na itabakia hivyo!