CCM nendeni mkafanye mdahalo wenu feki

Kataa neno usikatae wito au uwaka wanahofia yule mgombea wao mgojwagonjwa anahutubiaga dk6 tena mdahalo napendekeza masaa3 tena ya kusimama

Si bora wetu anahutubia dk 6 ya vitu vinavyoeleweka huyo wa kwenu anahutubia masaa 2 alafu hajui hata gadafi alikuwa rais wa wapi,hajui hata sadam alikuwa rais wa wapi eti sadam alikuwa rais wa kuwait hahaha nilicheka sana.hapa ni LOWASSA tu na UKAWA hata muandae midahalo 100 narudia tena hapa ni LOWASSA na UKAWA tu.
 
UKAWA hawaonyeshi utayari hata kidogo kushiriki kwenye Mdahalo unaoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Nyinyi CCM mmeshafanya kikao kirefu na waandaaji kupanga mdahalo utakavyokuwa. Yawezekana mmeshapewa hata maswali na majibu.

Kwa kufanya kikao hicho na waandaaji wa mdahalo,mmevujishiwa mtihani na hivyo mdahalo husika ni feki na hauaminiki. UKAWA wasithubutu kushiriki kwakuwa kuna mambo yameshapangwa. Kama miaka yote CCM hawakutaka midahalo,iweje waitake kwa udi na uvumba mwaka huu? CCM nendeni mkamalizie maigizo yenu.

Mkuu ushafika arusha,tupe hali halisi basi
 
good!!wasiende kabisa mbona 2010 ccm walikataa
waende wenyewe
 
CCM haiwezi kufanya mdahalo na chama chochote cha Upinzani,huo ndio ukweli kwasababu:-

-Watanzania wanataka kusikia hoja na si Mipasho na Matusi

-Wanataka wanataka kujua kuwa CCM ilitimiza ahadi zake zipi kwa miaka zaidi ya 50?
 
Kura Kwa Lowasa mbona miaka yote CCM wamekuwa wakikikataa Midahalo. Tuna mambo ya muhimu ya kufanya kuliko kwenda kubishana na wapiga push up.

Lowasa wala usihangaike endelea kutafuta kura. Sisi tumejipanga tarehe 25.10.2015 ni Kura Kwako tuuuu.
 
Back
Top Bottom